Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu apa umeonfea point kbsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan hii timu inanitia hasira , tukiwa tunaattack tuko slow sana, hakuna creativity pale mbele, beki za timu pinzani wanarelax tuu.
,nimesoma huko the guardian jinsi beki wa Brighton wanavyosema, yani wanatuzarau sana, wanakuambia walishatusoma jinsi tunavyopenda kupoza mechi.
Mou asipobadili mbinu tutapata tabu sana, maana timu zitatukazia, kushinda itakuwa kwa bahati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha ndo anapanga strategy ya mchezo kuwa wacheze slow na wakizidiwa wapaki bus.........

Hapo shida yetu ni Mou,Ed Woodward na Pogba....

Toa Ed uweke sport director anaejua soka nje ndaniEd abakie kutoa pesa tu......Toa Pogba anaongeza mzigo kwa timu akiwepo ni sawa na sisi kucheza watu 10 uwanjan.....pia Pog hana desire na Man u kama alivyo na France mbona pogba wa France muelewa na anacheza deep down kabisa na anaperform kwetu show nying.......mwisho to a kocha leta Diego simeone au Zidane mpe paun mil 190 za pog kocha alete viungo 2 wazuri mmoja box to box mwingne right attacking wa kupanda na kushuka........Muongezee kocha pauni mil 200 alete centre back 2 na full back 2 wakaki.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kabisa mkuu, kwenye suala la kushambulia napo ni tatizo. Lukaku kuna muda anaingia msitu haonekani kabisa kwa dakika nyingi, hagusi hata mpira achilia mbali kupiga shot on target. Hizo winger za kupiga cross ndo hamna kabisa. Dah yaani ukianza kuelezea deeply unaweza kukosoa kila position. Ngoja tuone labda kuna changes zitatokea maana benchi la ufundi linajua zaidi nini kinatakiwa kifanyike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba mzito
Fred mzito
Lukaku mzito


Timu inatoa wapi uwezo wa kushambulia kwa kasi mkuu.
 
Hivi kwa nini uumize nafsi kwa vitu unavyoweza kuviongoza ( things you can control)?

Njoeni tuishangilia timu bora Liverpool FC.
 
Since the WC,Dea Gea has conceded 10 goals from just only 14 shots on target in all competitive matches!
Hii ina maana kuwa 72% ni chance ya kumfunga De Gea ili mradi tu unyooshe golini
Ehehehe yajayo pale Liverpool yanafurahisha jamani
Jamaa anacheza chini ya defence mbovu mbovu tu hana namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muungwana huyo muhuni anayo makombe zaidi ya 24 ni kocha wa team nzito nzito mpe heshima yake analo jina kubwa kuliko unaowaona wewe ni makocha,heshimu football
Kwa jinsi alivyo rigid na mbinu zake Huyo muhuni ameshapitwa na wakati labda kama atabadilika kiuchezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mou akiwa hampendi mchezaji kuna kipindi anamsakizia mechi mchezaji huku akiwa na lengo mchezaji Huyo azingue ili aje kwenye media afanye justification

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a flexible brain! Ila kuna siku nilitamani nikutukane nipigwe hata ban tu manake kuna mechi timu ilicheza hovyo sana na matokeo yakawa hovyo halafu wakati wengine tunalalamikia mfumo mbaya Wa uchezaji ukawa mmoja Wa watu Wa kumtetea kocha kwamba anajenga timu ha ha ha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa la man u siyo upungufu Wa wachezaji Bali ni mfumo Wa kiuchezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kama wachezaji wangekuwa wako huru kutoa maoni yao basi pale Man U hadi akina Tahit Chong, Angel Gomes na yule kipa mpya grant wangesema hawajawahi kuwa kwenye timu inayotumia mfumo mbovu Wa kiuchezaji kama Mfumo Wa Mou. Yaani hadi timu ya watoto kabisa wangesema mfumo Wa uchezaji ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…