Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
yani kwa huu mpira wa ajabu tunaocheza hata arsenal anaweza akatufunga nyingi yani hatakupiga pasi zenye madhara hakuna
Mbona Chelsea husemi mkuu. Ngoja atakapo kunyosha ndiyo utajua yeye ni naniKwa Mpira Huu Kwa Kwel Tutazidi Kuwa Washiriki Sion Kama Tuna Kikos Kinachoweza Kufanana Hata Nusu Tu Na Man City. Liver Au Tort
huyu pogba leo kawa kama nini sijuiSio Arsenal tu hata Leeds wakicheza vizuri watapiga Man U bao nyingi sana.
Nilitamani sana Zlatan aondoke Man ndoto yangu umekuwa kweli nataka afuate Pogba na Mourinho najua wengi mtanipinga kwa Pogba.
Pogba sijwai kumkubali tokea anasajiliwa. akiondoka nitafurahi sanaSio Arsenal tu hata Leeds wakicheza vizuri watapiga Man U bao nyingi sana.
Nilitamani sana Zlatan aondoke Man ndoto yangu umekuwa kweli nataka afuate Pogba na Mourinho najua wengi mtanipinga kwa Pogba.
Safi Sana mkuusweet pain, we loose we get close to zidane, we win we find peace of mind.
MANCHESTER UNITED FOR LIFE
Usilaumu mtu mmoja.. Team nzima ni kimeo.fred anapoteza mipira mno
Pogba sijwai kumkubali tokea anasajiliwa. akiondoka nitafurahi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wanaeza Tufunga Zaidi Hata Ya Tatu Za Leoyani kwa huu mpira wa ajabu tunaocheza hata arsenal anaweza akatufunga nyingi yani hatakupiga pasi zenye madhara hakuna
Mkuu tatizo ni mwalimu tu ambae Maurinho.Yaani Pogba sio Mchezaji wenye macho makubwa ndio wataona ila walijaa ushabiki wa timu hawawezi kugundua.
Pogba kwanza anajiona sana na endapo akizoea kitambaa cha unahodha basi atasumbua sana, tunataka wachezaji wanaocheza kwa mbio sio kutembea kama ngongoti huyu wa Kifaransa.
Pogba Mou mkienda hakika nitafurahi sana.