Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165
Tayari nishamsokomeza mtu tatu hukoMtaanza ligi kwa kipigo.
Tayari nishamsokomeza mtu tatu hukoMtaanza ligi kwa kipigo.
Minutes played by academy graduates:
Man Utd last night:
253 Minutes.
Man City in whole of last season:
124 Minutes.
“Jose Mourinho doesn't give youth a chance.” SPORF on TwitterSuala la statistics jamaa wapo vizuri
Tayari nishamsokomeza mtu tatu huko
unataka kusema nini?Andreas pereira miaka 22 scott miaka 23 fred 24 pogba 25 viungo hao
Sijajuaunataka kusema nini "The future of Man United Midfield is in safe hands siyo?"
Pana bango moja nimeliona "the new chapter "hivi wadau hawa arsenal ndio wale waliokua wanashinda goli kwa fujo kwenye pre season tour?
hahaha kweli kanzu mpya shehe yule yule
Hahaha" the new( empty) chapter inapendeza zaidiPana bango moja nimeliona "the new chapter "
Bado wapo penye tabu zao.Hahaha" the new( empty) chapter inapendeza zaidi
mechi ya leo ya aseno imenichekesha sana daaaahhivi wadau hawa arsenal ndio wale waliokua wanashinda goli kwa fujo kwenye pre season tour?
hahaha kweli kanzu mpya shehe yule yule
mechi ya leo ya aseno imenichekesha sana daaaah
we miss you wenger...huyu jamaa akitaka atoboe aondoe kizazi chote cha wenga maana wachezaji wengi leo walikua wanacheza wakijua wenga bado yupo kwenye benchi
Siku tukifungwa utaziona #Mouout nying sana mkuu.Lundo la watu hapa walitamani tushindwe game ilopita ili wpate cha kuandika