Na kitu kinachoniboa mimi,ingekuwa Martial ndo kacheza hivi leo,basi angekaa benchi kwa mechi tano zijazo..narudia tena kusema sanchez usajili wake tulikurupuka tu..ni bora tungetafuta mtu wa kucheza winga ya kulia ambaye angeongeza nguvu ya ushambuliaji..Aliemuelewa Sanchez naomba anielekeze leo alikua anacheza utumbo gan
Mpaka sasa sijaona impact ya maana ya ujio wa Sanchez.(japo ujio wake nilitegemea uwe na mafanikio makubwa)Na kitu kinachoniboa mimi,ingekuwa Martial ndo kacheza hivi leo,basi angekaa benchi kwa mechi tano zijazo..narudia tena kusema sanchez usajili wake tulikurupuka tu..ni bora tungetafuta mtu wa kucheza winga ya kulia ambaye angeongeza nguvu ya ushambuliaji..
Martial sio kwamba nampenda sana,no,,sioni sababu ya sanchez kumweka benchi..
Rashford sijui anaelekea wapi huyu dogo..yasije yakawa yale ya welback
Bailly na lindelof wanaweza kutengeneza patnership nzuri,,kocha inabidi aendelee kuwapa nafasi
Perreira ni kama usajili mpya..trio yao yeye pamoja na pogba na fred ilikuwa nzuri sana...wamefanya mechi iwe na tempo ila sasa tatizo likaja kwenye washambuliaji wetu(rashford,sanchez,mata),,wote hawa walikuwa ovyo..
Ed ndio alimsajili Sanchez??? Wft are you talking budah???![]()
ed woodward anapaswa amchukue huyu mtumishi hewa kwenye dili zake za biashara.
sehemu pekee ambayo alex sanchez anatupa faida kubwa ni nje ya uwanja.
bado tuna safari ndefu sana ya kuboresha kiwango cha uchezaji ili kufikia performance ya Manchester City, tusisahau msimu uliopita tofauti ya point ilikuwa ni zaidi ya 15 na pia kiuchezaji walikuwa juu zaidi kuliko sisi.
dah namuonea huruma sana andreas perreira kwa sababu nafasi yake analazimika kupambana na Matic wakati nafasi nyengine unakuta mchezaji anagombea nafasi na average players kama lingard, mata, smalling na jones.
Dakika ya 16..Lukaku anapasha, inaonekana rashford ana shida.
1-0.

kabisa mkuu
Pogba ni mwingine kabisa,amekuwa mpya(apewe gamba kabisa)
Fellain hakupaswa kuingia kabisa leo,alikuwa kama mlevi hivi.
Hivi goli la kwanza amesababisha naniNa kitu kinachoniboa mimi,ingekuwa Martial ndo kacheza hivi leo,basi angekaa benchi kwa mechi tano zijazo..narudia tena kusema sanchez usajili wake tulikurupuka tu..ni bora tungetafuta mtu wa kucheza winga ya kulia ambaye angeongeza nguvu ya ushambuliaji..
Martial sio kwamba nampenda sana,no,,sioni sababu ya sanchez kumweka benchi..
Rashford sijui anaelekea wapi huyu dogo..yasije yakawa yale ya welback
Bailly na lindelof wanaweza kutengeneza patnership nzuri,,kocha inabidi aendelee kuwapa nafasi
Perreira ni kama usajili mpya..trio yao yeye pamoja na pogba na fred ilikuwa nzuri sana...wamefanya mechi iwe na tempo ila sasa tatizo likaja kwenye washambuliaji wetu(rashford,sanchez,mata),,wote hawa walikuwa ovyo..
Herrera hatokuwa anamuweka benchi fred..ngoja utaona..Meaning fred pereira watakua wanaingia sub.
We jamaa vipi..kigoli uchwara kile, wewe ndo unaona amefanya kazi...sanchez huyu akuna kitu anakifanya uwanjani,na angekuwa kocha mwingine mwenye akili,hata namba hapati kwa mpira anaocheza..anacheza utafikiri mnywa gongoHivi goli la kwanza amesababisha nani
Hivi ile pasi aliyekosa goli lukaku yeye na kipa aliyetoa ni nani? Tuache chuki na mapenzi tuwe tunaangalia mazuri pia sio makosa tu.
Mourinho anamkomoa Martial tu ila Sanchez sijaona alichofanya jana.. Baily,Mata na pogba jana walifanya kazi nzuri.Sanchez tatizo kubwa...hajui kabisa kutoa pasi.
Ila herera ndo anafit pale.fred bado makosa ni mengi sana.ila akiwa intoduced kidgokdgo atazoeaHerrera hatokuwa anamuweka benchi fred..ngoja utaona..
Fred yupo sharp huwezi kumlinganisha na herrera..herrera msimu uliopita mbona alicheza kawaida tu..fred na pogba ndo naona wataenda sawa..ila kuna mechi herrera lazima awepo kati kustabilize mamboIla herera ndo anafit pale.fred bado makosa ni mengi sana.ila akiwa intoduced kidgokdgo atazoea
Young anawezahe kumweka benchi Luke Shaw ?Weka herera na matic kwny kiungo
Valencia na young kwny beki
Pale mbele toa mata weka martial.
Hapo first 11 itakua moto
Tatizo ni jezi tunayotumia (fulana) ina rangi nyeusi kwa chini hivyo haipatani na bukta nyeupeMsimu huu mechi za nyumbani tunavaa bukta nyeusi badala ya nyeupe tulizozizoea. Yaani ni kama tutakuwa away kwa mechi za Old Trafford
