Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba captain!
Screenshot_2018-08-10-21-03-34.jpg
 
Mourinho wakati anahojiwa usoni hana furaha, hali ya kujiamini haipo kabisa...
Kama humu ndani mashambulizi yalikua hayo, huko nje yalikuaje....ana furaha aitoe wapi na ana furahia nini??

Mimi mwenyewe sina furaha kutokana na shutuma za humu ndani dhidi yake....ntaangalia game bila matumaini
 
Msimu huu mechi za nyumbani tunavaa bukta nyeusi badala ya nyeupe tulizozizoea. Yaani ni kama tutakuwa away kwa mechi za Old Trafford
 
Back
Top Bottom