Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sanchez ndo anayemueka martial nje!!...huu mpira huu!!

Fred yupo vizuri,yupo fasta,,naamini atatulia atakuwa mzuri
Sanchez leo hovyo ila fred na dogo perreira walitulia katikati
 
Fred bonge la mchezaji..makosa yake yanarekebishika..hivi kuna mchezaji anayecheza utumbo kama sanchez??..rashford ashana nae!!
Sanchez na rashford leo hovyo sana sijui nani alitoa ushaur wa jez namba 10 hata 19 yenyewe imempwaya ya dwight yorke
 
Pogba ni mwingine kabisa,amekuwa mpya(apewe gamba kabisa)

Fellain hakupaswa kuingia kabisa leo,alikuwa kama mlevi hivi.
mpira uliangalia lakini?? kiungo kilishapwaya ukiangalia Pogba, Fred, Pereira si defensive midfielders wote ni attack minded halafu wawili kati walikuwa na kadi unategemea nini na Leicester walikuwa tayari wamejisacrifice, Fellaini alihitaji ile half ya pili ilivyoanza..ova
 
Yule dogo na sanchez wamenikera sana hasa sanchez anapoteza mno mpira hakana nguvu za miguu yani wanazidiwa na perreira?
Sanchez leo hakuwa vizuri. Ila Rashford bado,anatakiwa aende timu ndogo huko kwa mkopo hata wa msimu mmoja.
 
mpira uliangalia lakini?? kiungo kilishapwaya ukiangalia Pogba, Fred, Pereira si defensive midfielders wote ni attack minded halafu wawili kati walikuwa na kadi unategemea nini na Leicester walikuwa tayari wamejisacrifice, Fellaini alihitaji ile half ya pili ilivyoanza..ova
Pia Pogba alichelewa kuanza mazoezi kocha alikuwa sahihi kumtoa kadri siku zinavyokwenda timu itakaa sawa kuna watu hawakuwepo mule
 
Back
Top Bottom