Alikuwa anapangwa karibia kila game ukiondoa mbili tatu alizowekwa benchi. Pia naamini kocha Wa ufaransa anaamini uwezo Wa pogba ila anajua ubovu Wa Mourinho ndio unafanya mchezaji aonekane mbovu pia. Kuhusu giroud hyo siyo justification sometimes makocha wanachemka pia. Vipi kwani giroud ni mzuri kuliko benzima? Fellaini anaweza timiza vema majukumu ya namba 6 kuliko Raidja naingolan? Brandt ni mzuri zaidi kuliko Leroy sane?
brandtz ni mzuri mara 1000 kuliko sane! labda kama unataka kubishana tu hapa
 
Man u wana option ya kuongeza mwaka mmoja ktk mkataba Wa martial. Mou anaona vyovyote poa tu wakati Woodward anaona ni muhimu sana hicho kipengele kikafanyiwa kazi
Ili 2020 aondoke bure baada ya hicho kipengele
 
nyie jamaa mna shida sana lawama zote anapewa Mou mnalishana chuki tu humu kumchukia kocha wenu bure! hao kina poch, klopp wako wapi na attacking yao? tatizo mnaona kama martial ni muhimu saaanaaaa yes anakipaji lakini kwa sasa anatakiwa mpambanaji timu inahitaji makombe sio mbwembwe! mnasahau juzi tu hapa world cup spain alitokaje? brazil katokaje? barca uefa katokaje? ivi attacking play isiyo na matunda mnaitaka yanini? mnaboa sasa
 
Martial ni mbovu..huo ni ukweli dogo ameishiwa confidence..dogo haonekani kupigania namba..dogo anataka kuondoka..

Luke shaw ni mfano mzuri..amekuwa na majeraha sana na morho amempigisha benchi na kumtolea maneno ya hovyo sana lakini mwisho wa siku jamaa ana moyo wa kupambana na kujituma everytime akipata muda..

Luke shaw angekuwa na tabia ya martial angekuwa ameshaondoka utd.
 
Mkuu sasa kama martial ni mzur anajua mourinho ni mbovu kwa nini amuache amchukue dembele alietoka majeruh?
Go East, Go West. Mourinho ni kocha wa hovyo saaaaaana.

Tena Saaaaaaaaaaaaaaana. Sadly hili litakuja kujulikana Too late team ikiwa imeshaparaganyika. Muda utaongea na Kiukweli yajayo hayafurahishi hata kidogo.
 
Mourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tu

Huyo scott mctominay katokea wap?

Kipa kapandishwa na mourinho

Chong mourinho

Gomes mourinho

Sijajua mantik yako
hawa jamaa zetu humu ndani wenyewe ni kila kitu Mou hafai Mou hafai hafai, ivi mnaona miili ya wale madogo? physically madogo hawawezi kucheza ligi kuu! watakua wanaanguka anguka tu kila wakiguswa na opponent ndio maana mou kakiri wazi kwamba wana skills but they need to develop physically! mnataka hao makocha wenu embu nambie timu gani kati ya arsenal, chelsea, liverpool imeenda pre season na hao mnaowaita madogo na wakapata nafasi?
acheni kuongopa eti mourinyo hawapi nafasi madogo si kweli wanapewa nafasi vizuri tu!
kuna kipindi rashford alipewa mda mwingi wa kucheza hadi mkaanza kusema anachoshwa! you guys ain't serious at all
 
Martial ni mbovu..huo ni ukweli dogo ameishiwa confidence..dogo haonekani kupigania namba..dogo anataka kuondoka..

Luke shaw ni mfano mzuri..amekuwa na majeraha sana na morho amempigisha benchi na kumtolea maneno ya hovyo sana lakini mwisho wa siku jamaa ana moyo wa kupambana na kujituma everytime akipata muda..

Luke shaw angekuwa na tabia ya martial angekuwa ameshaondoka utd.
Martial kaharibiwa zaidi na mou. Ila hata mwaka Jana ilifikia kipindi shaw alisema angependa kufanya kazi chini ya pochetino. Na bado naamini mou hampendi shaw na hata sasa mojawapo ya signings anazotarajia kuspend sana ni left back
 
Nashangaa sana mchezaji kiwango kinashuka lawama anapewa kocha hii ajabu

Kama martial talented anaachwaje anaitwa dembele aliecheza mechi chache barcelona na kaitwa katoka kwenye majeruhi?

Martial anahitaji kukaza sana
 
Sasa ni sahihi kumuamini scot na fellaini kuliko Herrera? Ndio maana nasema jamaa anaharibu vipaji vya wachezaji. Suala la mctominay si baya ila si ktk kufikia hatua ya kumuweka benchi Herrera. Hapo ndo naamini ni kocha anayejua kutengeneza mivurugano ktk klabu tu
angechezeshwa herrera mctominay akae bench mngelalamika bado! mbona herrera yupo comfortable kabisa na kuna game maalumu anacheza?
 
Mkuu mourinho hajapingwa na ed kumuuza martial sema bei haijafikiwa tu wanayotaka na vilabu vinavyomtaka ni vya england mtu kagoma kusain mkataba ed anazuiaje aisuzwe? Ili aje kuondoka bure
martial anapaswa aondoke! tunahitaji mtu mwenye njaa na makombe aje apiganie sio lelemama kama martial!
 
Ukiacha smalling kuna bek gani mwingine mzuri mipira ya kona ktk kutusaidia kufunga magoli? Jaman smalling ni bek mzur anasaidia sana kushambulia mipira iliyokufa kama sikosei ana goli nne lig iliyoisha pia sio mtu wa kuumwa sasa rojo na jones wanaumwa sana muwe mnaangalia na mchango wake

Kipindi cha van gal alisimama yeye na blind tulifanya poa tu

Kipind cha sir alex akiumw vidic basi utamkuta smalling na ferdinand akiumwa rio anasimama yeye na vidic john evans yupo bench hapo

Sidhani kama beki anapimwa kwa jinsi anavyofunga, msimu uliopita kama sio juhudi za De Gea tungefungwa magoli mengi sana.
Msimu uliopita De Gea alikua na wastani wa saves 3.8 per game, hii inaonesha jinsi gani hatukua na ukuta imara.
 
Martial kaharibiwa zaidi na mou. Ila hata mwaka Jana ilifikia kipindi shaw alisema angependa kufanya kazi chini ya pochetino. Na bado naamini mou hampendi shaw na hata sasa mojawapo ya signings anazotarajia kuspend sana ni left back
Mkuu acha propaganda za magazet

Hiyo ya kutoka kwa shaw mwenyewe
tapatalk_1532805721957.jpeg
 
nyie jamaa mna shida sana lawama zote anapewa Mou mnalishana chuki tu humu kumchukia kocha wenu bure! hao kina poch, klopp wako wapi na attacking yao? tatizo mnaona kama martial ni muhimu saaanaaaa yes anakipaji lakini kwa sasa anatakiwa mpambanaji timu inahitaji makombe sio mbwembwe! mnasahau juzi tu hapa world cup spain alitokaje? brazil katokaje? barca uefa katokaje? ivi attacking play isiyo na matunda mnaitaka yanini? mnaboa sasa
Kuna timu ilitoka kwa aibu kama Germany? Nao walikuwa na madoido? Na katika timu zote zilizocheza nusu na fainali yenyewe sijaona iliyokuwa inacheza defensive game
 
Mourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tu

Huyo scott mctominay katokea wap?

Kipa kapandishwa na mourinho

Chong mourinho

Gomes mourinho

Sijajua mantik yako
Acha kumlinganisha Sir Fergie na Upuuzi. Tena nakuonya.

Class of 90's ni eveidence tosha kuwa furguson ni Mbobezi wa kuthamini soka la vijana. Hapo bado sijakutajia dau alilolitoa kwa Kinda Wayne Rooney na Christiano Ronaldo.

Naomba unitajie Game rasmi walau 5 ambazo Gomes na Chong walianza katika first eleven.

Mourinho ni mbahatishaji tu na mbinu zake zimeshakuwa outdated. Game ya UEFA kati ya Villareal na Man united Alimuanzisha Ferain aliyekuwa hajacheza kwa kipindi kisichopungua miezi miwili na kumuweka benchi Huyo Mctomminay aliyekuwa na outstanding performance vs Team zote kubwa. Sasa hapo utasema una kocha.

MSIMAMO WANGU NI ULE ULE MIAKA YOTE, Mourinho ni tatizo. Hawezi kujitatua mpaka atakapotatuliwa.
 
Sidhani kama beki anapimwa kwa jinsi anavyofunga, msimu uliopita kama sio juhudi za De Gea tungefungwa magoli mengi sana.
Msimu uliopita De Gea alikua na wastani wa saves 3.8 per game, hii inaonesha jinsi gani hatukua na ukuta imara.
Sasa mchezaji mzur united ni yupi? Tatizo letu ni lipi hasa?
 
lindelof ni mzuri na mou alianza kumuamini mwanzoni mwa ligi, kama mnakumbuka alifanya makosa tukafungwa! kama sio game mbili hizo ni point sita! lazima kama kocha uwe na plan B ndio maana akawa anamchezesha game chache, naamini lindelof atafanya vizuri sana ukizingatia sasa atakua amezoea league tofauti na msimu ulopita
 
Back
Top Bottom