Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 466
- 1,063
Eti upate ubingwa kwa kutegemea average players kama Jones na smaling aisee hii ni aibu sana
Butner na cleverly wana medali ya EPL, simpson na drink water nao wana medaliEti upate ubingwa kwa kutegemea average players kama Jones na smaling aisee hii ni aibu sana
Hata Mimi na mtazamo huohuo. Pia Nina wasiwasi na kiwango cha young msimu ujaoSandro asije aisee...LUKE SHAW ni bonge la beki basi anamikosi ya injury..
Smalling na JONES wasepe jamani!!!
Yaani nahisi kama iliyokuwa hali ya "washika bunduki" imeamia kwetu.Duh msimu huu naona nitapata taabu sana Manchester United ishaanza kunikatisha tamaa huku bongo nako timu yangu nayo ovyo sijui itakuwaje?
haaaaa haaa ngoja nikununulie maskYoung ashachoka Valencia umri umemtupa Jones na smaling ndo usiseme ukiangalia man city kila namba ina watu wawili nao ni wakali masikin man united tutaficha wap sura zetu
Kwani SAA ngapi?Tunaionaje friend match ya leo?
Mwenye Link wakuuu
22:00 GMT nadhani itakua saa Saba usiku Kwa saa za hapa BongoKwani SAA ngapi?
Kwa saa zetu ni saa sita kamili.22:00 GMT nadhani itakua saa Saba usiku Kwa saa za hapa Bongo
Download mobdro then fungua man u tv utaona22:00 GMT nadhani itakua saa Saba usiku Kwa saa za hapa Bongo
Hizi timu ni za kibiashara zaidi. Hivi hamjui kila kiwekwacho on TV bila biashara kisingeonyeshwa? Mtapata shida msimu huu. Mourinho leo kasema kuna uwezekano msipateUsajili unaofanywa na liverpool ndio ambao ulikuwa ukifanywa na hii timu sasa tumechukua nafasi yao
Naona yule ed anamuonea sana mourinho anaigueza hii timu ya kibiashara sio uwanjani tena timu inaongoza kwa thamani lakin inazidiwa na juve ktk usajili.
Sasa aje nani? Alikuja Moyes kisha Van Gaal wote hawakufanya la maana. Mtu amekaa miaka 2 lawama kibao. Kila siku nasema, hakuna kazi rahisi kama kulaumu.Tatizo la Manchester united Ni Jose Mourinho.
Huu msimamo wangu nimekuwa nao na nitaendelea kuwa nao milele. Nimekuwa nikitoa sababu za kusapot ninachosema.
Kama team itavuka hapa tulipo siku tukitambua tatizo ni Mourinho.