radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Safi walau jose apate pesa ya kuvuta vifaaFaida..€6M
Safi walau jose apate pesa ya kuvuta vifaaFaida..€6M
Inabidi tusajili beki mmoja wa kati kitasa..rojo naona bado,,Safi walau jose apate pesa ya kuvuta vifaa
Mabek wawili na mshambuliaji kule kwa valencia na wakusimama na baillyInabidi tusajili beki mmoja wa kati kitasa..rojo naona bado,,
Tungempata mtu kama mahrez,tungetisha sana..sema ndo hivo kaenda man.cityMabek wawili na mshambuliaji kule kwa valencia na wakusimama na bailly
Sidhani kama tunamhitaji mhrez ujio wa fred ni faida kubwa kwa pogba coz fred anashambulia na anakaba pia afu anapiga pasi za mwisho hatari sana uwepo wake utafanya pogba acheze free role zaidi tunahitaji tu beki wa kati 1 na w pembeni 1 labda na forwad mkali maana lukaku huwa tu simuelewiTungempata mtu kama mahrez,tungetisha sana..sema ndo hivo kaenda man.city
Ila lukaku jaman ule mguu mmoja unamtesa sana.Sidhani kama tunamhitaji mhrez ujio wa fred ni faida kubwa kwa pogba coz fred anashambulia na anakaba pia afu anapiga pasi za mwisho hatari sana uwepo wake utafanya pogba acheze free role zaidi tunahitaji tu beki wa kati 1 na w pembeni 1 labda na forwad mkali maana lukaku huwa tu simuelewi
Lukaku ni mzigo? Acha masihara bana ligi imeisha msimu wa kwanza katupa goli 17 kombe la dunia ana goli nne na assist 2 mpe credit bana kwangu mm ni usajili bora wa striker.Ila lukaku jaman ule mguu mmoja unamtesa sana.
Yaan nyuma yako yupo hazard na de bruine alafu unashindwa kufunga.lukaku ni mzigo
Mkuu hao jamaa wanatafutiwa watu labda ishindikane tuInasikitisha hawa jamaa bado wanachezea United
View attachment 812271
When will be the parade for this?OFFICIAL: Dejan Lovren has made the FIFA World Cup team of the tournament.View attachment 812392
Hiyo kawaida ata Robinho aliitwa next PeleBelo Umesahau mlikuwa mnawaita (Smalling na Jones) the next Vidic-Rio?