Halafu analazimisha kutambuliwa beki bora duniani liverpool gundu sana kocha ana miaka minne hana kombe lolote anasifika kwa kushambulia siku hiz makombe hawatak liverpool.Lost 4 consecutive final
wanapokuwa kwenye siku zao kabumbu linasakatwa ipaswavyo kweli?MAN UNITED WOMEN'S SQUAD![]()
![]()
![]()
![]()
Manager:Casey Stoney
- Lizzie Arnot (previous club: Hibernian)
- Fran Bentley (Man City)
- Siobhan Chamberlain (Liverpool)
- Charlie Devlin (Millwall)
- Leah Galton (Bayern Munich)
- Mollie Green (Everton)
- Alex Greenwood (Liverpool)
- Kirsty Hanson (Doncaster Rovers Belles)
- Martha Harris (Liverpool)
- Naomi Hartley (Liverpool)
- Lauren James (Arsenal)
- Aimee Palmer (Bristol City)
- Emily Ramsey (Liverpool)
- Lucy Roberts (Liverpool)
- Ebony Salmon (Aston Villa)
- Jess Sigsworth (Doncaster Rovers Belles)
- Kirsty Smith (Hibernian)
- Ella Toone (Man City)
- Amy Turner (Liverpool)
- Millie Turner (Bristol City)
- Katie Zelem (Juventus)
- Numbisa (JF FC)
- everlenk (JF FC)
wataweza kupambana na arsenal, liverpool na chelsea?
mourinho akizingua niatelekeza nguvu zangu upande wa wanawake kwa sababu wanachokipigania ndio kile kile wanachotakiwa kukipigania wanaume.
fighting
Wapo wachezaji 23 mkuuwanapokuwa kwenye siku zao kabumbu linasakatwa ipaswavyo kweli?
uweke hapaUzi wetu wa msimu ujao mmeuona wazee??..
Oooh kumbe wananchi ndio mnaoamini!Wananchi tunaamini asingekuwepo Lovren, Croatia wangeweza kuchukua ubingwa, tatizo wachezaji wa livapuli wana gundu by nature
Huu Uzi no hatar sanaa
Tumepata ka faida ua bado hasara?Billioni 53 zinamuondoa Blind Man United. : Vilabu vya Manchester United na Ajax FC vimetangaza rasmi kukubaliana ada ya uhamisho ya kiasi cha jumla cha €20m sawa na billioni 53 za kitanzania kwa ajili ya usajili wa beki Dale Blind kurejea nchini Uholanzi. : Blind alijiunga na Manchester United akitokea Ajax miaka 4 iliyopita kwa ada ya €14m, na sasa anarejea kuitumikia klabu iliyomlea baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha Jose Mourinho.
Faida..€6MTumepata ka faida ua bado hasara?