Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Huyo Mou kuna watu kawawekea ndumba leo akifanya vizuri wanaona anafaa ila akizidi kuboronga wako kimya.
Mou sitamkubali hata alete mataji 6 kwa msimu pale United.
Mou sitamkubali hata alete mataji 6 kwa msimu pale United.