Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United imefungwa mechi nyingi kwa magoli mengi lakini ulikuwa unaona wachezaji wanavyopigana licha ya kufungwa
 
Kwanini useme martial ndo alikuwa mbovu,wakati hakuna mchezaji aliyecheza vizuri hata mmoja??..sipingi kuwa martial second half kaboronga..angalia rashford kafanya nini,pogba,mata wote walikuwa ovyo.
 
NATAKA WALE WOTE WALIOKUWA WANATETEA HII TAKATAKA MARTIAL WAJE HAPA NA LEO. UJINGA HUU AUZWE HUYU DARAJA LA KWANZA HUKO.
Wewe unachuki zako tu na Martial jana nani kacheza vizuri zaidi ya De gea? Wanapoteza mipira hovyo pasi hovyo, Rashford kumpa mwenzie pasi hawezi anahangaika tu na mpira wewe kwanini umuone Martial tu?.
Timu nzima mpaka kocha hawafai kuwepo manchester United kasoro De Gea tuuze wote kuanza upya sio ujinga .
 
halafu wakiwafunga Chelsea mechi ijayo mtawashangilia na kuwapa sifa kumbukeni hakuna timu ilitengenezwa ishinde mechi zote. kufungwa pia ni moja ya kujifunza na kupata picha nini kifanyike ktk misimu ijayo.


kungekuwa na timu perfect basi tangu kuumbwa mpira ingekua yenyewe ndio inabeba makombe tu
 
kamdis martial
United inabidi ifanye kila linalowezekana kumbakisha Martial bado dogo ana kitu anaweza ku-offer inaonekana ana matatizo binafsi tu.

Kuongea ukweli ni kiburi ?
Yeah ni kiburi na dharau alafu hajaanza leo hakuna kitu kibaya kama ku-single out mchezaji/wachezaji fulani pale timu inapopata matokeo mabaya,unadhani Utd ingeshinda angesema fulani ni bora kuliko Lukaku au angepiga kimya kwa nafasi yake sio vema kusema hawa ni mizigo na wale ndio wanabeba timu yeye ni mlezi pia.
 
Back
Top Bottom