Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MUFCPOTY

Denzil Haroun reserve team player of the year: DemetriMitchell

Goal of the season award: Nemanja Matic for his remarkable strike v Palace.

POTY: David De Gea

YPOTY: Tahith Chong

Players player: David De Gea

Managers POTY: Scott McTominay
Huyu Tahith Chong kweli atakuja kuchezea team kubwa ya Manchester United au naye atakuwa kama yule Mtaliano Petruc(New TOTI) alipotea kimoja

"timu ambayo haina mchezaji wa kibrazil hiyo siyo timu"-mourinho

Hapo ushaelewa kuwa lazima mbrazil atue ot msimu ujao
31431298_420377325100506_5894192965596741632_n.jpg
Hapo anatafutwa Fred Wa shakhtar
 
Savic namwelewa zaidi Mkuu,,
Jorginho pia au Serri...

Kuna tetesi James nae amefanya mazungumzo na JM..
Hao ndio wachezaji wa Ed wanauza sa Jezi
Savic sijamuona vema akicheza ndugu ila nikionaga habari zake anaonesha ni mtu sana asee
 
Savic sijamuona vema akicheza ndugu ila nikionaga habari zake anaonesha ni mtu sana asee
Nlipitia video zake Mkuu,, yupo vizuri sana kwenye options zilizopo..
Kwangu mimi yeye ndie namba moja
Pili ni Jorginho
Tatu Fred
Nne Serri

Kroos najua hapatkani plus umri na njaa pia hana now..

Savic atamsaidia sana Matic na Pogba plus Uwepo wa Ander tutakua vizuri sana ila ikibidi aje na Fred,,
Mkubwa Fella kama ataondoka waje Savic na Fred..
 
Kuangalia mechi bila Valencia ni ngumu..ngoja niangalie first half pekee
 
Huyu kocha pumbaf sana.. bado kamuacha Martial..na ujinga wote anaofanya. Fellaini anapambana Lukaku hayupo ndio anajitahidi kupiga mipira vichwa pale mbele na kamtoa
 
Tunaingi ktk record ya kufungwa na team zilizopanda daraja viwanja ugenini
 
Huyu kocha pumbaf sana.. bado kamuacha Martial..na ujinga wote anaofanya. Fellaini anapambana Lukaku hayupo ndio anajitahidi kupiga mipira vichwa pale mbele na kamtoa
Mara nyingine maneno yako yana ukweli huyu Martial wakati mwingine anaudhi
 
Back
Top Bottom