Kamekuwa kabishi au man utd wamekuwa flops!HT: 0-0
Katimu kamekuwa kabishi haka.
Tusubiri kipindi cha pili kama vs cityMpira umepooza sana wachezaji wamelerax sana
That was a stone wall penalty!Herera anaangushwa paleee penalttt refa amepeta...Commentator wanashangaa sana kwa nini sio penalt.
Ngoja nikalale sasa, Martial in for Pogba![]()
Ndio hivyoBado dakika 20 tu Guardiola akabidhiwe kombe..![]()