Van dijk guys,![]()
Jirani acha akeketwe tu mana hakuna namna...Wewe Endelea Kujitekenya Ukicheka Mwenyeo Tayari Jirani Yako Nimeshamgegeda.
Ndani Ya Miezi Mitatu Nimeshampiga Vipigo Vitatu
• 4 - 3
• 3 - 0
• 1 - 2
When will be the parade for beating city thrice?Wewe Endelea Kujitekenya Ukicheka Mwenyeo Tayari Jirani Yako Nimeshamgegeda.
Ndani Ya Miezi Mitatu Nimeshampiga Vipigo Vitatu
• 4 - 3
• 3 - 0
• 1 - 2
When will be the parade for beating city thrice?
Ahh vumulia mtani ila jana zari la mental ilikuwa lileSasahivi Nimeshakuelewa na Hutonipa Tabu Tena.
Coz Kila Unachokipost Wewe Unataka Nikuchukuwe Literally, Lakini Kila Ninachokipost Mimi Unakibadilisha Mantiki.
I agree with You but is not Fair Bro..
Umekuja hapa unajisifia sifia kumfunga city mara tatu! How the mighty has fallenSasahivi Nimeshakuelewa na Hutonipa Tabu Tena.
Coz Kila Unachokipost Wewe Unataka Nikuchukuwe Literally, Lakini Kila Ninachokipost Mimi Unakibadilisha Mantiki.
I agree with You but is not Fair Bro..
Umekuja hapa unajisifia sifia kumfunga city mara tatu! How the mighty has fallen
Hata umfunge mara mia in one season haitakusaidia chochote, BEBENI MAKOMBE, ukibeba kombe hata kwa kumfunga wigan itaendelea kukaa kwenye history miaka na miaka na sio kumfunga city.
Mkuu si usubiri kwanza hadi uchukue, mbona kelele nyingi wakati huna kitu mfukoni???Ww makombe yako siku hizi ya hovyo sana!Mm nachukua UCL kombe kubwa
Hao ndo Liverfool mkuu.Mkuu si usubiri kwanza hadi uchukue, mbona kelele nyingi wakati huna kitu mfukoni???
Ni #@LOSERFOOLHao ndo Liverfool mkuu.
Umekuja hapa unajisifia sifia kumfunga city mara tatu! How the mighty has fallen
Hata umfunge mara mia in one season haitakusaidia chochote, BEBENI MAKOMBE, ukibeba kombe hata kwa kumfunga wigan itaendelea kukaa kwenye history miaka na miaka na sio kumfunga city.
Loooh umenikumbusha mbaliiiii weweee hata ule ukibonde wetu na LVG hakutufungaa, huwa sisahau lile goli is Mata hahahaha very special one!!!!!Liverpool haikumfunga United last season na United imezifunga timu zote 19 kwenye ligi
Wewe una kumbukumbu nzuri embu pata hapo kinywaji!!!Tuna misimu minne kamili sasa Liverpool hajaifunga Manchester United Premier League mchezo hata mmoja, imechezwa michezo 8, United kashinda 5 draw 3