Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Javier hernandes anapaisha... haraka haraka zinamponza dogo!
 
fabio anaingia, fletcher nje! sunderland misses their last chance! game over at old traford. united clinch three points!
 
Ongereni mashetan wekundu..naona tunaendelea ku win ugly.
 
Hamna shida naona tumerudi kwenye fomu yetu ya siku zote,tuna bahati tuna mechi na vibonde .Tutaendelea hivi hivi hadi timu irudi kwenye form
 
Naomba nikaribishwe huku Sir Alex Ferguson Stand maana ni mgeni na mwenyeji alienitambulisha hii forum alinianzishia na jukwaa hili kwa kuwa anajua ni mnazi niliebobea wa hili chama miaka nenda rudi

Nipokeeni kiungo mkabaji

sir-alex-ferguson-stand_2674487.jpg
 
Ongereni mashetan wekundu..naona tunaendelea ku win ugly.

Vipi nachikia leo bahasha zimefanya kazi khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Talk about ugly, you must be joking talk about brown envelopes thats how you normally win ... ...
 
Tuna yosso wakali, England nzima. Morrison, Pogba, keane na Tunniclife ila tuna kocha mpumbavu anaedharau vipaji vichanga vya klabu yake na kuwapa njia ndefu sana kupata nafasi ktk kikosi cha kwanza. Matokeo yake tuliwakosa rossi, shawcross, na pique. Nasikia pogba kagomea mkataba mpya anataka kwenda milan. Namshangaa sana ferguson, hakuna midfield mwenye kiwango kama cha pogba pale united, ukimuuliza ooh hajiamini. Sasa atajiaminije hata sub humpi? Analazimisha kina park na rooney wacheze kati, upumbavu mtupu. Au kisa pogba sio mwingereza? Kina morrison na keane je? Wangekua asenane hawa wangecheza mara kwa mara na kua nguzo ya timu. Nashangaa wakija yosso kutoka nje ya klabu kina de gea, jones, da silva, macheda hata enzi za rooney na ronaldo moja kwa moja alikua anawapa nafasi timu ya kwanza. Ila waliotoka academy ye2 anawabania sana. Mwangalie cleverly kasota miaka miwili on loan bila man u debut. Kwa upumbavu huu kufikia ubora wa Barca ni ndoto. Bora saf upumzike mwachie solsjier timu, kwa hli la pogba na morrison i hate u!
 
Mkubwa sijafanikiwa kuwaona hao vijana Pogba,Morrison na Keane lakini ukweli ni kwamba tunahitaji viungo wapya so ni bora wapewe nafasi hao hasa kwenye mashindano kama Carling Cup.Hata mimi sijakubaliana na uamuzi wa Fergie kumchezesha Rooney kama kiungo.Silaha ya ManU kwa sasa inategemea winga(Nani na Young) ukifanikiwa kuwazuia hao basi ManU ni kazi kutengeneza nafasi za magoli,mfano ni game dhidi ya City.Watu wanapiga kelele kuhusu defence mbovu but msingi wa timu ni midfileld,angalia Barca ni timu ambayo ina defence mbovu but combination na Xavi-Basquet-Iniesta inawafanya kina Abidal na Mascherano ambao sio mabeki lakini hawafungwi kirahisi,ukweli hata mimi nasikitika kumkosa mchezaji kama Shawcoss ikiwezekana Fergie amrudishe then Phil Jones acheze kama defensive midfielder
 
kaka anakera sana huyu babu. hiyo carling cup pia anawabania. game na aldershot tumeshashinda goli 3 stil ameng'ang'ania park kua mido. anakuja kuwaruhusu pogba na morrison dk 15 za mwisho! sikufichi, hzo dk 15 nilitaman mpira usiishe vijana wanasakata soka acha mchezo. juzi game ya reserve morrison alikalia bench, upumbavu tu hata reserve ananyimwa nafasi na akawa frustrated mpaka akaandika comment twitter ya hasira. nimeona leo bbc gossip rooney anampa moyo. kwa kweli kwa upumbavu huu wa kocha kushobokea vipaji vya nje ya klabu inauzi. nasikia anamtaka GOETZE ila nakuapia MORRISON yuko juu ya GOETZE ana skills za hatari tatizo hapewi nafasi. kama hujawaona kaka cheki hata youtube uone shughuli yao. hakyanani siwezi kupoteza muda wangu kuangalia man u mido kuna fletcher na carrick, bora nikacheze pool table.
 
Hahahah nimecheka sana baada ya kuisoma hii comment yako. Kuna group moja nilienda yani washabiki wa Arsenal wanalinganisha wachezaji yote kutaka kujiona wao ni zaidi ya Man Utd....Utasikia Rooney na RVP nani mkali.

Poleni wakuu mlio ICU khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee and the winner is Wine Romney .... ..... ....
 
kaka anakera sana huyu babu. hiyo carling cup pia anawabania. game na aldershot tumeshashinda goli 3 stil ameng'ang'ania park kua mido. anakuja kuwaruhusu pogba na morrison dk 15 za mwisho! sikufichi, hzo dk 15 nilitaman mpira usiishe vijana wanasakata soka acha mchezo. juzi game ya reserve morrison alikalia bench, upumbavu tu hata reserve ananyimwa nafasi na akawa frustrated mpaka akaandika comment twitter ya hasira. nimeona leo bbc gossip rooney anampa moyo. kwa kweli kwa upumbavu huu wa kocha kushobokea vipaji vya nje ya klabu inauzi. nasikia anamtaka GOETZE ila nakuapia MORRISON yuko juu ya GOETZE ana skills za hatari tatizo hapewi nafasi. kama hujawaona kaka cheki hata youtube uone shughuli yao. hakyanani siwezi kupoteza muda wangu kuangalia man u mido kuna fletcher na carrick, bora nikacheze pool table.

dah .. punguza hasira basi ...
 
Siku zote nimekuwa nikisema tuna tatizo la viungo wa kukaba. Wote tulionao ni viungo wa kuchezesha na kushambulia tu hatuna kiungo mkabaji hata mmoja hao madogo wote Pogba, Morroson, Kean, Cleverly ni viungo washambuliaji na wachezeshaji tu. Option ambayo babu anaweza ifanya kwa sasa kuokoa jahazi ni kumchezesha Phil Johns namba 6. Otherwise Anderson ni mzuri kukaba kama ataacha tabia yake ya kukimbia mbele ovyo kozi hana pumzi ya kutosha kupanda na kushuka
 
Mfarisayo

Kale katoto chijui kanaitwa Young kako wapi hakawezi hata kukimbia utafikiri kanachechemea .... ... ...
 
Manchester-United-v-Sunderland-David-Miliband_2674597.jpg

Milliband alikuwepo kuwasupport Sunderland .... .
 
Naomba nikaribishwe huku Sir Alex Ferguson Stand maana ni mgeni na mwenyeji alienitambulisha hii forum alinianzishia na jukwaa hili kwa kuwa anajua ni mnazi niliebobea wa hili chama miaka nenda rudi

Nipokeeni kiungo mkabaji

View attachment 40640

Karibu sana mkuu..sisi ndio mashetani..daima tuko hapa..iwe mvua..iwe jua...

Vipi nachikia leo bahasha zimefanya kazi khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Talk about ugly, you must be joking talk about brown envelopes thats how you normally win ... ...

Bahasha...bahasha....bahasha....bahasha.....ndio slogan yako, tushakuzoea.

_56500602_handball.jpg

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na bado .... .... ... ...

Ohhhhhhhhhhhh! sikuona hii, Webb hakua kati nini?

Tuna yosso wakali, England nzima. Morrison, Pogba, keane na Tunniclife ila tuna kocha mpumbavu anaedharau vipaji vichanga vya klabu yake na kuwapa njia ndefu sana kupata nafasi ktk kikosi cha kwanza. Matokeo yake tuliwakosa rossi, shawcross, na pique. Nasikia pogba kagomea mkataba mpya anataka kwenda milan. Namshangaa sana ferguson, hakuna midfield mwenye kiwango kama cha pogba pale united, ukimuuliza ooh hajiamini. Sasa atajiaminije hata sub humpi? Analazimisha kina park na rooney wacheze kati, upumbavu mtupu. Au kisa pogba sio mwingereza? Kina morrison na keane je? Wangekua asenane hawa wangecheza mara kwa mara na kua nguzo ya timu. Nashangaa wakija yosso kutoka nje ya klabu kina de gea, jones, da silva, macheda hata enzi za rooney na ronaldo moja kwa moja alikua anawapa nafasi timu ya kwanza. Ila waliotoka academy ye2 anawabania sana. Mwangalie cleverly kasota miaka miwili on loan bila man u debut. Kwa upumbavu huu kufikia ubora wa Barca ni ndoto. Bora saf upumzike mwachie solsjier timu, kwa hli la pogba na morrison i hate u!

Duh, ww kwel shetani wa ukwee'?, au?, una bifu binafsi na SAF?, maneno makali kama hayo hayafai kwa kocha ambae kakufanya hapo ulipo na timu yako....kiungo yes ni tatizo. In SAF we trust.

Siku zote nimekuwa nikisema tuna tatizo la viungo wa kukaba. Wote tulionao ni viungo wa kuchezesha na kushambulia tu hatuna kiungo mkabaji hata mmoja hao madogo wote Pogba, Morroson, Kean, Cleverly ni viungo washambuliaji na wachezeshaji tu. Option ambayo babu anaweza ifanya kwa sasa kuokoa jahazi ni kumchezesha Phil Johns namba 6. Otherwise Anderson ni mzuri kukaba kama ataacha tabia yake ya kukimbia mbele ovyo kozi hana pumzi ya kutosha kupanda na kushuka

Well said..tuhaitaji kiungo wa dimba dogo, Fletcher tangu arud frm virus infection hajawweza ku acclimatize na pace ya game.
 
Back
Top Bottom