ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Karibu sana mkuu..sisi ndio mashetani..daima tuko hapa..iwe mvua..iwe jua...
Bahasha...bahasha....bahasha....bahasha.....ndio slogan yako, tushakuzoea.
Ohhhhhhhhhhhh! sikuona hii, Webb hakua kati nini?
Duh, ww kwel shetani wa ukwee'?, au?, una bifu binafsi na SAF?, maneno makali kama hayo hayafai kwa kocha ambae kakufanya hapo ulipo na timu yako....kiungo yes ni tatizo. In SAF we trust.
Well said..tuhaitaji kiungo wa dimba dogo, Fletcher tangu arud frm virus infection hajawweza ku acclimatize na pace ya game.
naona umeamua kuwatolea uvivu kwa sisi The Citizens tunachukua ndoo msimu huu wetu..