Tofauti ya mourinho na klopp, mourinho uki m criticize anakupa kombe, klopp uki m criticize anawaambia wachezaji wake wakimbie kimbie ana maliza msimu trophy less, huku mkimuita genius
Anawatumia salamu wale wanamsemaga hapa mi mourinho nnaiman nae sana japo kuna muda nae anakengeuka ila timu iliyotaka kufa ilimhitaji huyu mtu madrid wenyewe walihangaika sana jamaa aliwatoa shimon tena mbele ya barcelona kali mno binadamu huwa wepes wa kusahau
Tofauti ya mourinho na klopp, mourinho uki m criticize anakupa kombe, klopp uki m criticize anawaambia wachezaji wake wakimbie kimbie ana maliza msimu trophy less, huku mkimuita genius
Kama utakumbuka mechi ya kwanza "tuliwalaumu" Utd kwa kutokuwashambulia City, Beki ya Man City ninahisi ukiwashambulia muda mrefu / wote kuna uwezo mkubwa ukawafunga