Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo nawashangilia mshinde. Mkipigwa ubaya tutahitaji mje uhamiaji na vyeti vyenu vya kuzaliwa pamoja na vya mababu/ mabibi zenu tangu enzi za Mjerumani
 
30264238_10155660609227746_8383427801740163687_n.jpg
 
hii game naenda kuiangalia kwa heshima ya ander herrera,na inaweza kuwa game yangu ya mwisho kwa msimu huu katika epl.
Huyu Ander alikuwa nje muda mrefu sio wa kuanza mechi hii kubwa ya utani wa jadi. Lakini kwa ujumla timu nzuri, wale watoto wamewekwa benchi, ngoja leo nikaangalizie bar kifua mbele.
 
Liver hajatushusha.


Kumbe Nyie Mnashindana Na Liverpool?
Ni lifikiri Timu zote 19 zilizobakia zinaongozwa na Man City anayeongiza Ligi! Kumbe Nyie Baada ya Kupambana na Anayeoongoza Ligi Munajisifia Kupambana na Liverpool aliye Wa NNE?
Basi sisi Hatushindani na Nyie Kabisaaaa Kwani Tunajua Kwa nafasi Muliyopo Nyie si Washindani Wa Yoyote!
Bali Mshindani Wetu Kwa Sasa Tunayepambana nae Ni Man City Katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na sio nyinyi.

Angalau mungelimhofia Spurs aliye watatu na Karibu yenu basi ingemake sense.



2 games ahead of us but still wapo nyuma yetu.

We are having a bad season, but this is one of their best season, spot the difference
 
Matic yuko kwenye kiwango kikubwa sana leo, na ana uhakika Baily yupo anasogea mbele sana.
 
Back
Top Bottom