Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika
Kwa matokeo hayo Southampton na Chelsea zinaungana na Manchester United na Tottenham katika hatua ya nusu fainali,ambapo Chelsea itaivaa Southampton na Manchester United itachuana na Totenham.

Manchester United ilifanikiwa kutinga Hatua ya nusu fainali baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Brighton kwa magoli ya Romelu Lukaku na Nemanja Matic huku Southampton wakisonga mbele kwa ushindgi wa bao magoli 3-0 dhidi ya Swansea city.
 
Manchester United imeongeza kandarasi ya miezi 12 ya beki Ashley Young, 32, katika klabu hiyo hadi 2019. (Mail)

Takriban wachezaji 10 wa Manchester United katika kikosi cha kwanza akiwemo Michael Carrick, 36, anayestaafu na kiungo wa kati ambaye kandarasi yake imekwisha Marouane Fellaini, 30, pamoja na Zlatan Ibrahimovic, 36, huenda wakaondoka Old Trafford msimu huu (Express)

Baadhi ya wachezaji wa Manchester United wanaamini beki wa kushoto Luke Shaw, 22, ananyanyaswa na meneja Jose Mourinho baada ya kukosolewa pekee kufuatia ushindi wa mechi ya kombe la FA dhidi ya Brighton siku ya Jumamosi. (Telegraph)

Kiungo wa kati Nemanja Matic amesema kuwa viwango vya juu vya kocha Mourinho vinaweza kumfanya kuwa vigumu kufanya kazi naye lakini akaongeza kuwa anafurahia kucheza chini ya usimamizi wa raia huyo wa Ureno (Independent)
 
Tatizo lako unakosea.... mata wa Sasa n tofaut na zaman wewe unamwongelea wa zaman... but mata wa Sasa sio mkali.... ndo maana yupo bench
Siyo kweli. Nadhani ni Mwl tu hana mapenzi nae sana ila jamaa angepewa chance na timu ingejengwa kumzunguka yeye angewasha moto sana
 
Wakuu
Swali:
Nitajieni wachezaji 10 wa Manchester United waliobeba Kombe la Dunia

1.Bobby Chalton-England 1966
2.Nobby Stiles- England 1966
3.John Connely- England 1966
4.Fabian Barthes-France 1998
5.Laurent Blanc- France 1998
6.Kleberson -Brazil 2002
7.Gelard Pique- Spain 2010
8.Juan Mata- Spain 2010
9.Bastian Shweinsteiger -German 2016
10. Mack Wild-Tanzania 2030
 
Siyo kweli. Nadhani ni Mwl tu hana mapenzi nae sana ila jamaa angepewa chance na timu ingejengwa kumzunguka yeye angewasha moto sana
fact mkuu waliongalia mech ya liverpool kipind cha kwanza jins mata alivyounganisha timu hawawez kumjadili alikuwa kwenye nafas yake sahihi mfumo wa 4 4 1 1 1 mfumo ukikuwa mpya wala hakuhangaika na aliwakosa goli mbili kipind cha pili mourinho kampeleka kwa valencia wakawa bek mbili wawili sasa mata ni wakuzuia? hata sanchez siamin kama ni flop ni kocha tu yule anahitaj wachezaj makin ambao mourinho anawapiga bench pale
 
Kocha mkuu wa kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amesema kwa sasa mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Paul Pogba hana furaha
Mshambuliaji huyo amekuwa si mtu mwenye furaha na kuonekana hapendwi katika uwanja wao wa Old Trafford.
Pogba yupo katika kikosi cha Ufaransa kwa ajili ya michezo ya kirafiki dhidi ya Colombia na Urusi alionekana kutopendezwa kwa kufanyiwa madadiliko na timu yake ya Manchester United katika mchezo wa jumamosi dhidi ya Brighton .
Didier amesema mengi atayasikia kuhusu hilo kwa Pogba ni hali ambayo haifai, United watakuwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Swansea tarehe 31 Machi.
United itarudi katika mechi za ligi ya Uingreza dhidi ya Swansea mnamo tarehe 31 Machi.

Pogba alianzishwa katika kikosi cha United dhidi ya sevilla katika mechi ya vilabu bingwa Jumanne iliopita baada ya kukosa kushirikishwa katika mechi ya ushindi dhidi ya Liverpool kutokana na tatizo la jeraha.

''Sijui kwa nini iwe hivyo, aliongezea Deschamps. Ni kwa nini mambo yalifikia kiwango hicho, lazima kuna sababu''.
''Mimi huzungumza sana na wachezaji katika kambi ya mazoezi ili kujua hisia zao . Sio Pogba pekee''.
Pogba alijiunga na United mwaka 2016 kwa ada ya pauni milioni 89 na mpaka sasa ameisaidia United kushinda Kombe la ligi na Europa League msimu uliopita
 
Tetesi

Beki wa Manchester United Luke Shaw, 22, anahisi kwamba meneja Jose Mourinho anamnyanyasa na kwamba raia huyo wa Uingereza huenda akawasilisha malalamishi yake kwa naibu afisa mkuu mtendaji katika klabu hiyo Ed Woodward. (Mirror)

Mourinho anapanga kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na Wales Aaron Ramsey, 27, katika klabu ya Manchester United. (Star)

United tayari imemuulizia beki wa Arsenal Hector Bellerin, lakini Juventus wanapigiwa upatu kumsajili mchezaji huyo wa Uhispania mwenye umri wa miaka 23. (Mirror)
 
Ramsey?? Mou katuchoka asee
 
Manchester United are ready to fight Real Madrid for the signing of Paris Saint-Germain star Neymar, claims Don Balon.
Neymar only joined PSG in a €222 million world-record transfer from Barcelona last summer, but reports suggest the Brazilian could soon be on the move again.
Madrid have long targeted a deal for the attacker, but United are willing to make an offer, with the aim of making Neymar the team’s new leader.
 
Manchester United are considering a £40 million bid for Fulham teenager Ryan Sessegnon in the summer, according to The Sun.
Sessegnon has been watched regularly by United scouts of late and the 17-year-old has been the subject of glowing reports.
He is being viewed as a replacement for Luke Shaw, although United could face competition from Tottenham for the player.
 
Manchester United manager Jose Mourinho is ready to launch a clear-out at the club, with a number of the more senior players set to leave, Don Balon claims.
Mourinho has grown frustrated with his squad after seeing United fall behind rivals Manchester City in the Premier League and exit the Champions League at the hands of Sevilla.
The Portuguese manager reportedly wants to part ways with Ander Herrera, Juan Mata, Luke Shaw, Chris Smalling, Phil Jones, Daley Blind and Matteo Darmian, with Gareth Bale and Willian among his potential targets.
 
Chelsea are ready to offer Luke Shaw a Manchester United exit route in the summer, reports the Daily Mail.
The left-back has struggled for fitness and form at Old Trafford and has come in for criticism from manager Jose Mourinho.
And the Blues, who failed to land top target Alex Sandro in the summer, are now apparently leading the chase for the 22-year-old defender.
The Evening Chronicle, meanwhile, reports that Newcastle are also in the race to sign Shaw as they look to improve their options at left-back.
 
Manchester United manager Jose Mourinho is ready to launch a clear-out at the club, with a number of the more senior players set to leave, Don Balon claims.
Mourinho has grown frustrated with his squad after seeing United fall behind rivals Manchester City in the Premier League and exit the Champions League at the hands of Sevilla.
The Portuguese manager reportedly wants to part ways with Ander Herrera, Juan Mata, Luke Shaw, Chris Smalling, Phil Jones, Daley Blind and Matteo Darmian, with Gareth Bale and Willian among his potential targets.
Where is fellain?
 
Back
Top Bottom