Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo lako unakosea.... mata wa Sasa n tofaut na zaman wewe unamwongelea wa zaman... but mata wa Sasa sio mkali.... ndo maana yupo bench
hizo takwimu hadi 2016 akiwa bado anafundishwa na makocha wanaoaminj kujilinda zaidi sio Kushambuli kafanya hayo bado unapinga ukiadili kiushabik hii mada itakushinda ukijikita ki mpira hiyo sababu yako haina maana sass mwaka
 
Ndo maana nasema wewe unakosea mata wa Leo hii sio wa kuanza.... kiwango kimekwishaa.. sasa ume crem tu
 
Hujiuliz why kocha wote wanampiga bench....? Ukiwa na kiwango bora lazm utakuwa first 11.. otherwise n mbovuuuu
we jamaa bana nimecheka sana sky sport waliotoa hizo takwimu hawakujua hilo? umeomba overall statistics nimekupa umeona silva alivyouanguka vibaya sana unakuja na hoja kama hizo

hazard alifanywaje na mourinho nae alikuwa ni mbovu?
 
Ndo maana nasema wewe unakosea mata wa Leo hii sio wa kuanza.... kiwango kimekwishaa.. sasa ume crem tu
napoteza muda wangu hapa huna hata takwimu sasa umeanza kubishana weka pembeni mapenz jadili mpira hakuna mahali nimekwambia silva mbovu mata anafunzwa na makocha wasio na maono ya soka la ushambuliz

kwa tafsir yako kwakuwa lingard anaanza mata anakaa bench basi lingard ni bora kwa mata
 
JM kama ana chuki fulani hivi hasa kwa Shaw, yani anavyokabaga young ni kiajabu ajabu tu

Young sio mchezaji, lile ni sawa na jiwe uwanjani. Chuki ya Mourinho kwa Luke Shaw ndio inafanya Shaw asipate nafasu na kila siku kusakamwa na Mourinho.
Mechi ya juzi, Shaw na Martial walikua wanacheza vizuri sana upande wa kushoto. Baada ya Shaw kutoka haikueleweka tena ni wapi Martial alikua anacheza.
 
Shaw ni mzuri kwa kupeleka mashambulizi ila siyo kudefend, young anajua kudefend vizuri zaidi. Nakubaliana na mou mechi ya juzi kipindi cha kwanza mashambulizi mengi ya brighton yalikuwa yanapitia upande wa kushoto kwa Shaw, hili lilionekana wazi kabisa na mtu yeyote aliyekuwa makini kufatilia hiyo mechi angeliona hilo mapema. Shaw alipwaya hata brighton waliliona hilo wakawa wanapeleka mipira yote kupitishia kule kwake. Maamuzi aliyofanya Mou ya kumtoa Shaw kwangu niliona ni sahihi kabisa.
 
napoteza muda wangu hapa huna hata takwimu sasa umeanza kubishana weka pembeni mapenz jadili mpira hakuna mahali nimekwambia silva mbovu mata anafunzwa na makocha wasio na maono ya soka la ushambuliz

kwa tafsir yako kwakuwa lingard anaanza mata anakaa bench basi lingard ni bora kwa mata
Mimi hoja yangu n kutom compare silva na mata
 
Shaw ni mzuri kwa kupeleka mashambulizi ila siyo kudefend, young anajua kudefend vizuri zaidi. Nakubaliana na mou mechi ya juzi kipindi cha kwanza mashambulizi mengi ya brighton yalikuwa yanapitia upande wa kushoto kwa Shaw, hili lilionekana wazi kabisa na mtu yeyote aliyekuwa makini kufatilia hiyo mechi angeliona hilo mapema. Shaw alipwaya hata brighton waliliona hilo wakawa wanapeleka mipira yote kupitishia kule kwake. Maamuzi aliyofanya Mou ya kumtoa Shaw kwangu niliona ni sahihi kabisa.

Young anajua kudefend? Mechi ya juzi ya Palace alikua anashangaa uwanjani mpaka Townsend anapata nafasi ya wazi kufunga.
Young ni mchezaji wa hovyo sana, hafai kuvaa jezi ya Man United.
 
Mimi hoja yangu n kutom compare silva na mata
sasa kwa kutofautisha hivyo weka data tuachane na hayo mambo unaweza kutuambia flan ni bora zaidi ya kwa.....

ila kama unachuki zako kwa mata kwa hiyo post yako uko sahihi huna data halafu unataka tumtoe hahahaha mashabik bana

uliomba data tumekupa umeushia kubishana jipange mkuu mata ni mfumo wa makocha tu anacheza mech chache anamzid anacheza muda mwingi
 
Young sio mchezaji, lile ni sawa na jiwe uwanjani. Chuki ya Mourinho kwa Luke Shaw ndio inafanya Shaw asipate nafasu na kila siku kusakamwa na Mourinho.
Mechi ya juzi, Shaw na Martial walikua wanacheza vizuri sana upande wa kushoto. Baada ya Shaw kutoka haikueleweka tena ni wapi Martial alikua anacheza.
Bora aondoke tu
 
Wakuu
Swali:
Nitajieni wachezaji 10 wa Manchester United waliobeba Kombe la Dunia
 
Aliewahi kucheza man utd au ambae yupo hadi sasa?

Kama waliowahi kucheza basi
1)GERARD PIQUE (SPAIN 2010)
2)LAURENT BLANC (FRANCE 1998)

ndio ninaowakumbuka haraka haraka
 
Walio/wanaochezea
 
Back
Top Bottom