Manchester United (Red Devils) | Special Thread

shaw,mata na martial hawa ni wachezaji makini sana ndani ya kikosi chetu nenda uendapo hakuna kocha atakataa kufanya kazi na hao lakin ajabu wanakaa bench daa huwa sipend
JM kama ana chuki fulani hivi hasa kwa Shaw, yani anavyokabaga young ni kiajabu ajabu tu
 
kitu ambacho anakera mourinho matumizi ya huyu kijana young hana ubav wa kumuweka bench huyu kocha mwenyewe anampunguzia uwezo wa kujiamin View attachment 719047 View attachment 719047

Hivi Juzi Uliangalia Press Conference Ya Post Match aliyoifanya Morinho?

Yaani Alitumia Muda Wote KuwaAttack Wachezaji badala Ya Kuzungumzia Performance (Improvement & Weakness) Ya Timu.

Na Victim Mkubwa Wa Mashambulizi Ya Mourinho alikuwa Ni Luke Shaw, Kiasi Ya Kwamba Mpaka Shaw akadadisi Kuhama Mwisho Wa Msimu huu.

Ni Wachezaji Watatu Tu Ndiyo Mourinho aliowasifu! Lukaku, Matic na De Gea.

Sasa Mourinho Katika Kosa Mmoja Analolifanya Ni Kuwashambulia Wachezaji Hadharani! Kocha Hatakiwi Awe Hivyo! Ni Lazima Awamotivate Wachezaji na sio KuwaDiscourage Kwa Mashambulizi.

Hebu Fikiria Mwanzoni Kwa Huu Msimu Ronaldo aliflop Mpaka Mashabiki wa Real ikawa Wanamzomea Uwanjani! Lakini Zidane alimkingia Kifua na Kumuunga Mkono Mpaka Karudisha Confidence Yake tuliyoizoea.

Mata na Shaw Katu Mourinho hawezi Kuwakubali sijui Tatizo Ni Nini!!!

Kwa Mfano Pogba Ni Mchezaji Mzuri Lakini Kapoteza Confidence! Sasa Mourinho Baada Ya Kummotivate, Yeye Ndiyokwanza Anaungana Na Mashabiki Wa Kwenye Twitter Kumvunja moyo na anahisi Kumueka Benchi Ndiyo Suluhisho Wakati Anamuongezea Frustrations.

kwa ile rotation ya mourinho anayoifanya ktk kikos tunaweza kuzibuliwa mana hadi muda huu hamna mchezaj anaeijua nafas yake Vyema kila mech ni majaribu tu mwenye namba ni de gea tu namba 4 na 5 hata hajulikn hapo tu nachoka
 
Hivi Juzi Uliangalia Press Conference Ya Post Match aliyoifanya Morinho?

Yaani Alitumia Muda Wote KuwaAttack Wachezaji badala Ya Kuzungumzia Performance (Improvement & Weakness) Ya Timu.

Na Victim Mkubwa Wa Mashambulizi Ya Mourinho alikuwa Ni Luke Shaw, Kiasi Ya Kwamba Mpaka Shaw akadadisi Kuhama Mwisho Wa Msimu huu.

Ni Wachezaji Watatu Tu Ndiyo Mourinho aliowasifu! Lukaku, Matic na De Gea.

Sasa Mourinho Katika Kosa Mmoja Analolifanya Ni Kuwashambulia Wachezaji Hadharani! Kocha Hatakiwi Awe Hivyo! Ni Lazima Awamotivate Wachezaji na sio KuwaDiscourage Kwa Mashambulizi.

Hebu Fikiria Mwanzoni Kwa Huu Msimu Ronaldo aliflop Mpaka Mashabiki wa Real ikawa Wanamzomea Uwanjani! Lakini Zidane alimkingia Kifua na Kumuunga Mkono Mpaka Karudisha Confidence Yake tuliyoizoea.

Mata na Shaw Katu Mourinho hawezi Kuwakubali sijui Tatizo Ni Nini!!!

Kwa Mfano Pogba Ni Mchezaji Mzuri Lakini Kapoteza Confidence! Sasa Mourinho Baada Ya Kummotivate, Yeye Ndiyokwanza Anaungana Na Mashabiki Wa Kwenye Twitter Kumvunja moyo na anahisi Kumueka Benchi Ndiyo Suluhisho Wakati Anamuongezea Frustrations.
jamaa hana treatment nzur kwa wachezaj ni rahisi kugombana nao pogba hana furaha tena shaw ndo huyo mata ni kipenz cha mashabik ndo mana inakuwa ngumu kumzingua na ni mtu muhimu mno kwa soka la kisasa huwa sifurahii kumuona mata bench wakat david silva kule city anawasha moto balaa hawa ni aina moja ya uchezaj unaofanana
 
Fagio la Chuma ndani ya United.

Kwa mujibu wa Gazeti la Daily Express la Uingereza, limeripoti kwamba Luke Shaw ataongoza utitiri wa wachezaji wanaotarajiwa kuondoka ndani ya klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu.

Shaw pamoja na Juan Mata, Ander Herrera, Chris Smalling, Phil Jones, Daley Blind na Matteo Darmian wanatrajiwa kuuzwa ili kutunisha zaidi mfuko wa usajili wa Jose Mourinho katika hatua nyingine ya ujenzi wa kikosi majira ya kiangazi.

United pia wanatarajiwa kumpoteza Marouane Fellaini ambaye mkataba wake unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu huku Michael Carrick anastaafu na Zlatan Ibrahimovic ataachiwa kuondoka huru.

Baadhi ya wachezaji wanaowindwa ni pamoja na winga wa Real Madrid , Gareth Bale, Mabeki wawili wa Spurs Toby Alderweireld na Danny Rose, winga wa Chelsea Willian na kiungo wa Shakthar Donetsk, Fred.

Straika wa Manchester United Romelu Lukaku siku chache zilizopita alisema," Najua kwamba wachezaji wengi wazuri watakuja hapa majira ya kiangazi - hilo nina uhakika."
 
jamaa hana treatment nzur kwa wachezaj ni rahisi kugombana nao pogba hana furaha tena shaw ndo huyo mata ni kipenz cha mashabik ndo mana inakuwa ngumu kumzingua na ni mtu muhimu mno kwa soka la kisasa huwa sifurahii kumuona mata bench wakat david silva kule city anawasha moto balaa hawa ni aina moja ya uchezaj unaofanana
Una m compare vp mata na David silva aiseee..... silva yuko mbali zaid ya mata...
 
hapo kabla hajavurugwa na mourinho mzee kaa mbali na mata.
Screenshot_20180319-120344.jpg
 
Silva level nyingine mkuuuu
mkuu ukiwa unajadili kitu jaribu kuwa na proof pia angalia mpira kwa utulivu nnapokwambia naumia kumuona mata bench namaanisha huyu mtu anautumia muda mwingi bench kufuatana na makocha wazembe waliopita united pia anachukuliwa poa kwakuwa timu anayochezea haifany vizur silva ni mzur ila mata ni habar nyingine

bado mata anamuongoza silva ktk big games
FB_IMG_1521450506861.jpg
 
mkuu ukiwa unajadili kitu jaribu kuwa na proof pia angalia mpira kwa utulivu nnapokwambia naumia kumuona mata bench namaanisha huyu mtu anautumia muda mwingi bench kufuatana na makocha wazembe walioputa united pia anachukuliwa poa kwakuwa timu anayochezea haifany vizur silva na mzur ila mata ni habar nyingine

bado mata anamuongoza silva ktk big games View attachment 719222
Chukua statistics zote mbona umemega kidogo... yaan hujaleta general
 
hapo tu ushajua mtu tunaemjadili ni wa namna gani usisahau toka mwaka 2013 aliporud mourinho chelsea huyu mtu alianza kukaa bench muda mwingi sasa pata picha kama wakina van gaal na mourinho wangempa muda wa kutosha na namba yake sahihi ingekuwa habar gan ka muda kadogo alikokatumia kafanya hayo
 
Chukua statistics zote mbona umemega kidogo... yaan hujaleta general

Premier League's best midfielder since he came to England
Since joining Chelsea in 2011, Man United's Spanish maestro has produced the most impressive numbers of any top-flight midfielder
Manchester-United-v-Arsenal-Premier-League.jpg

No wonder Juan Mata is happy(Image: Shaun Botterill)
Yes, we're serious. No, we're not joking. And no, this has not been written by a Man United fan.

When it comes to football's most important statistics, the numbers prove it quite clearly: Juan Mata has been the best Premier League midfielder of the last five years.

If you know anything about football, you know that there is only one stat that truly matters: goals. Not possession. Not passing accuracy. Not shot conversion rates. It's all about GOALS.

You want your defenders stopping goals. You want your strikers scoring goals. And your midfielders? You want them a) scoring goals and b) setting up goals.

Which brings us to Mata's numbers…

Look at that delightful little face…(Image: Michael Regan)
Mata joined Chelsea in August 2011, meaning the Man United man has been playing in the Premier League for just over five years. After his strike in the 1-1 draw against Arsenal, he has now scored 42 goals in that time. On top of that, he has racked up 41 assists.

That means he has been involved in (i.e. scored or set up) a grand total of 83 goals since August 2011 - and that puts him top of the list of midfielders with most goal involvements in that time.

3rd: Eden Hazard, 79
48 goals, 31 assists
Middlesbrough-v-Chelsea-Premier-League.jpg

(Image: Jan Kruger)

2nd: David Silva, 83
31 goals, 52 assists
Manchester-City-v-Middlesbrough-Premier-League.jpg

(Image: Alex Livesey)

1st: Juan Mata, 83
42 goals, 41 assists
Manchester-Uniteds-Juan-Mata-and-Antonio-Valencia-in-action-with-Arsenals-Aaron-Ramsey-and-Nacho-M.jpg

(Image: Action Images via Reuters)

Before you point it out, yes, we know Silva and Mata are technically joint top. Mata has scored more, so we're saying that puts him in first place.

mkuu usikate tamaa watu wengi tunashindwaga kuwaambia ubora wa mata kwa kuwa timu yetu haifany vizur pia kocha wetu hawaamin ndo mana hata ww sijakushangaa ulichopost ila mata

pia kumbuka narudia muda mwingi anautumia bench tofauti na silva toka mwaka 2013 had sasa anapata muda mfup sana wa kucheza
 
Tatizo lako unakosea.... mata wa Sasa n tofaut na zaman wewe unamwongelea wa zaman... but mata wa Sasa sio mkali.... ndo maana yupo bench
 
toka mwaka 2013 mata kawah kuwa chaguo la kwanza? kwa hiyo post yako nakuacha.
Hujiuliz why kocha wote wanampiga bench....? Ukiwa na kiwango bora lazm utakuwa first 11.. otherwise n mbovuuuu
 
Back
Top Bottom