Mkuu Jux,Daah iv man u awawezi Fanya mpango wampate yule bwana kweli
Duh apo ninoma mkuuMkuu Jux,
Dah ilikua moja ya ndoto kumwona Pep akiwa The Boss pale OT ila haikua hvo. Babu Ferg sjui alkosea wap..
Kwa sasa ni ngumu sana labda angetimuliwa Man City,, pia kutoka City kuja Utd sidhani tena,,
Ngoja tupambane na Mwl wetu wa mataji ila mbele ya Pep i think atakua anabeba FA, na Carabao...
Mpira mzuri haupo tena Mkuu..Duh apo ninoma mkuu
Pep deserved a big club like man u sema ndoivo haikuwa ivo
I wish moo wam sack aje ata ancelot maana kwa style yauyu jamaa mpia mzuri hatutakuja kuuona pale ot
Kweli mkuu kama juve kapitia uzoefu kitu ambacho ni rahisi san a kwa pochetino kubadilikaMpira mzuri haupo tena Mkuu..
Jamaa n mzuri kwa mbinu za ushindi ila zmepitwa na wakati..
AC Milan
Inter Milan
Juventus
Chelsea
Kwa uchanga wangu wa kujua soka na mambo kadhaa kwa uchache hzo ni baadhibya timu ambazo zlikua znaujua mpira wa kupaki vifaru... Ila zmebadilika hasa huenda kwa sababu ya anguko kadha wa kadha,
Ila nachoamini wachezaji wa aina ya kupaki bas dk 90 wamepungua sana kama sio kutoweka... Cha ajabu Josee habadiliki...
Ila kwa kua n falsafa iliompa mafanikio nadhan hatabadilika labda Utd ndio watabadilika..
All in All kama kutakuwa na mabadiliko
Kete yangu kwa Maurichio Pochettino..
Katolewa ma timu kubwa yenye world class players kuanzia namba 1 hadi 11.. Tena kazidiwa timing na huenda bahati haikuwa kwake that day but tuliona how Seong Min Son,, Kane, Dele, Eriksen wakifika mara kadhaa kwa kna Chiellin..
What is wrong with Utd???
Hatna wachezaj wa maana??
Sevilla nan wa maana?? Nzonzi??? Banega binafs namheshimu Mkuu.
Yes Mkuu...Kweli mkuu kama juve kapitia uzoefu kitu ambacho ni rahisi san a kwa pochetino kubadilika
I surely aree wth yu ts better to have pochtno rather than moo
Jamaa yule anajua na pale kashika toti angalia sajili zake ize sana lkn ana bonge lakikosi vp akipewa timu kama man u mpunga kibao naamini atasajili vilivyo nakufanya makubwa
Mbona jamaa kama anatembea angani? au mibanghe yangu inanipeleka les.View attachment 714378 musilm attacker
Mi niligundua toka ana teuliwaWakuu Mimi niseme kwa ufupi tu...
Toka tarehe 13/3/2018 nimegundua kuwa....
MOURINHO sio kocha ,overrrrr!!!!!!!!!!!
Ata achukue sijui FA,sijui ashinde mechi zilizobaki
MOURINHO sio kocha
Halafu bila aibu, anadai hiyo ni kawaida! Kisha ishuhudia ikitolewa hatua hii mara mbili kabla ya hii hapo hapo OT, akiwa kocha wa Porto na Real Madrid, na sasa akiwa kocha wa MANUTD!Mi niligundua toka ana teuliwa
Kipindi hiki haki suit akili ya Mou
Namsapot kwakuwa tu ni kocha wa myclub.
Ila he is past his prime days
HahahahHalafu bila aibu, anadai hiyo ni kawaida! Kisha ishuhudia ikitolewa hatua hii mara mbili kabla ya hii hapo hapo OT, akiwa kocha wa Porto na Real Madrid, na sasa akiwa kocha wa MANUTD!
Yani Haya Maneno anayoyasema Kocha Basi Hata Kocha Wa Chandimu Kule Mbagala Hapaswi Kuyasema.
Sikiliza mwenyewe uone! This Man truly Ni Destroyer and he'll turn you Upside-down.
Sasa lipi ni lipi? Mbona nyie mashabiki wa manure hamueleweki !!!!!!!wengine wanalaumu why maureen kamuanzisha MF wengine wanalaumu why the pecial 1 kamtoa MF kamuingiza PP???????Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzur