Sanchez hajiwezi, mkuu usiongelee Fellaini, mpaka hapa HT ndio mchezaji bora kwa United nadhani wote mmeona.Sanchez leo apigwe chini mapema, hajiwezi. Felain kesha choka tayali
Mashabiki kuna muda tunakuwa hatuna uvumilivu.timu inacheza vizuri 2 huyu jamaa anaelaumu ya sanchez na lukaku haoni vzuri na fella japo mzito kajitahdi kaic chake
Mechi kubwa inatakiwa wachezaji wakubwa. Fellaini vs McTominay nani atakuwa anajaribishwa kwenye mechi hii?Mourinho cjui yakoje bhana. Huwa ana tabia ya kujaribisha wachezaji kwenye mechi kubwa
Fellaini inabidi atoke aingie Mata au Pogba.Fellain atupishe kidogo, aingie Pogba kiungo kimekufa pale na jamaa ni mzito sana
Sevilla, don't make me shit on my pants today.
Beat these fuckers harder to their asses.
Hatuangalii ukubwa wa mwili tunaangalia utandazaji wa soka. Yule dogo yuko njema zaidiMechi kubwa inatakiwa wachezaji wakubwa. Fellaini vs McTominay nani atakuwa anajaribishwa kwenye mechi hii?
Haha haha bado ana akili za academy yao ile ya Washika Manati wa London.Waungwana huyu Sanchez kama tumepigwa vile....
Mkuu unaangalia mpira wa wapi, Lukaku anapiga pasi ndefu za uhakika kule pembeni kwa Young, mtangazaji anatania anasema anafanya kazi ya Pogba. Sanchez atoke mapema Mata aingie.Lukaku sanchez sioni wanafanya nn kaz kupoteza chances.wasenge wakubwa
Tatizo pogba nae mzito.....tutakimbizwa balaa. Hapo dawa ni kiberenge tu Mata. Wengine wote wabaki ndio utamjua Lingard na Rashford ni nani. Lukaku atakua anatupia tu.Au atoke Sanchez aingie Pogba namba 10
Yaani kabisa hujaona anachokifanya Lukaku?Lukaku sanchez sioni wanafanya nn kaz kupoteza chances.wasenge wakubwa
mbona wako vizuri tuLukaku sanchez sioni wanafanya nn kaz kupoteza chances.wasenge wakubwa