Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilichogundua huyu jamaa anaangalia mechi lives core, ni vigumu sana kubishana na watu wa namna hii, kama anakataa kwamba kiungo chao first half hakikupotea, basi ngoja nimuachie Radika abishane nae ndio wanawezana mi simuwezi.
Jamaa ni mbishi hajiulizi kwa nini ox alitolewa hadi kaingizwa lalana na jojino binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…