Game imekuwa na presha sana na dogo rashford teyari ana njano bora katokaKupaki basi kunaanza..Rashford out for Feellaini. 69th Min
Kwahiyo now ni kama dk ya sabini na kitu mkuuGame imekuwa na presha sana na dogo rashford teyari ana njano bora katoka
80 na kitu mkuuKwahiyo now ni kama dk ya sabini na kitu mkuu
Tusioangalia ni presha tupu
Duh..80 na kitu mkuu
Kwahiyo now ni kama dk ya sabini na kitu mkuu
Tusioangalia ni presha tupu
Kocha ya kwanza? Sijakusoma kiongoziDuh dakika ya 84, Man Utd ndio tunapata kocha ya kwanza
GGMU
Kocha ya kwanza? Sijakusoma kiongozi
Kabisa mkuu, vipi huko?Naona Amani imetawala humu Ndani