Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu wanapendaga sana kushinda kwenye hili jukwaa leo hawaonekani hapa

GGMU
 
28434031_1940576909307888_689209777036722176_n.jpg
 
c5507e6f-710a-4d96-b7bc-057360640d2b.jpg
8ad3c432-3454-49cb-bbc3-c1be549a83a6.jpg
Hawakutegemea kabisa hii game plan...tunafanya interceptions za maana...tumeshika Mane, Flemino na Salah...afu huku Rukaku anamsumbua Loveren na long balls...
Nadhani kipindi cha pili watakuja na plan B otherwise tuwanywa nyingi tu za counter attack...hapa inabidi tuwagonge cha tatu ndani ya dk 15 za kwanza za kipindi cha pili kabla akili zao hazijakaa sawa
Najuwa Mourinho anakera na tabia zake za kihuni, ila yuko very tactical aise, hapo namvulia kofia, na ndio maana kazi kwake sio shida kabisa, ni jambazi zuri kwenda nalo kwenye vita, lina game plan za kufa mtu..
 
Tungekuwa makini ni wakati sasa wa Sanchez out Fellaini/Carrick in...sanchez amekuwa kama Salah tu, game imemkataa kabisa.
 
Back
Top Bottom