lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Rashfooooooord
Tulia sindano iingie vzrTatizo lenu ndo hilo. Watu leo mnapigwa alafu wew unaona ushindi mkubwa. Pole yako jani yangu.




Hongereni sana. Naona leo mambo amewaendea vizuriTulia sindano iingie vzr
Mmmmh hizi sifa sasa. HongereniLeo kumi hapa
Safari njema mkuuEndeleeni kutupa matokeo wakuu..
Wengine tupo safarini
Mkuu nakuona unatembelea mahasimu wakoMmmmh hizi sifa sasa. Hongereni
Nimepita kwa jirani, naona leo kaokota embe chini ya mnazi.Mkuu nakuona unatembelea mahasimu wako
Y?Hawa liva ni takataka kabisa
Kumbe na wewe umemuona, amesogea sana mbele kule nyuma amemuacha Smalling amerelax..hakuna kitu kinavuka mstari wake.Mou inabidi aanze kumchezesha Eric baily kama kiungo mtibuaji. 😀😀😀
Hahah sawaNimepita kwa jirani, naona leo kaokota embe chini ya mnazi.