Unaongea nn sasa
Mou angeacha kufanya
Hyo sabu mngeona cha moto
Mmeshinda ndo mnajileta
Ok. Kumbe hao sio wachezaji wa Man U.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshukuru tu sabu ya mata na
Rashford ndo imewapa ushind
Hadi muda huu sioni kipa wakumshindanisha na de gea Anastahili mshahara wa Sanchez.
Mkuu maneno tunayoyasemaga mtaani sometime tunayajutia.....afadhari dah!![]()
mkuu unanifurahisha
Sasa mkuu mbona kama unataka kuitenga hiyo substitute ya mata na rash na performance ya timu? Ndio nakuuliza hao wachezají na huyo aliyewaingiza hawahusiki na MUFC au?Najua hapa mtaongea Kila tu
Kisa tu mmeshinda kwa tabu
Maana leo mgelala njaaa
Nawaambia tena mshukuru sabu
Ya mata na rashford
Mkuu kwan mata na rashid tumewaazima asen?sasa tushukuru kvp![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshukuru tu sabu ya mata na
Rashford ndo imewapa ushind
Toka na chelsea mkuu tunatoka nyuma na kushinda Leo tulitangulizwa goli mbili timu imepambana sana.What a game....
Usiku mwema mtani tukutane baadae kwenye UCLView attachment 705732
😀 😀 😀 😀 😀 teh teh teh teh teh teh!
Kama Sikosei Kwa Mujibu Wa Saa Za Afrika Mashariki Huu Mpira Utamalizika Kesho! Hivi Nitazame Mpira Ndani Ya Siku Mbili Halafu Nisifurahi?? Haiwezekani!!!
C. Palace 1 - 0 Man United
Dakika ya 11'
Atakuwa kanuna balaaUsiku mwema mtani tukutane baadae kwenye UCL
Hawezi kufurahi na anajua kabisa tunamsubiri OTAtakuwa kanuna balaa
Saiv naona viungo wangu wamerudisha from matic hapo katikati alipotea sana.Hawezi kufurahi na anajua kabisa tunamsubiri OT
Swali zur sanaSasa mkuu mbona kama unataka kuitenga hiyo substitute ya mata na rash na performance ya timu? Ndio nakuuliza hao wachezají na huyo aliyewaingiza hawahusiki na MUFC au?