Kujikomboa ndo nini...nachojua tumeondoka na point 3 zinazotambulika na FIFAHaa haa haa mmejikomboa dk
Za mwisho
Premature ejaculation..Kila kaya itaonja msiba... Ngoja tuone teh teh teeeeehhh
Nakwambia je kama coKujikomboa ndo nini...nachojua tumeondoka na point 3 zinazotambulika na FIFA
"Kutangulia sio kufika"
Ambao ni wachezaji wa Arsenal sio??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshukuru tu sabu ya mata na
Rashford ndo imewapa ushind
Najua hapa mtaongea Kila tuAmbao ni wachezaji wa Arsenal sio??
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshukuru tu sabu ya mata na
Rashford ndo imewapa ushind
Kama kawaida maneno ya wakosaji hayakosekanagi ..."kama sio " kama sio zinakua nyingi bila sababu....Nakwambia je kama co
Sabu ya mata na rashford nyie
Hata draw msinge pata
Mzee kuwa na subira achana na kocha kafukuza bek zote halafu this motumeshinda mourinho hatar sanaKila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Sasa tuwashukuru kwani hao ni wachezaji kutoka mtibwa? Hao ni wachezaji wa Manchester united na wanalipwa mshahara kwa kuichezea hii timu. Kutokea benchi sio tatizo maana wachezaji hawawezi kucheza wote at the same time.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshukuru tu sabu ya mata na
Rashford ndo imewapa ushind
Unaongea nn sasaKwani hao uliowataja wanalipwa kufanya nini?
Mashabik mnaz mnajulikana tuKama kawaida maneno ya wakosaji hayakosekanagi ..."kama sio " kama sio zinakua nyingi bila sababu....
Maana ya substitute players ni nini...basi ndo kazi zake hizo...