Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila mimi bado sioni sababu za Mou kumuweka bench Shaw,labda kama Young ni shemeji yake.
Jana kocha alifanya maamuzi magum ..kumtoa Valencia na young..kilichonifurahisha ni jinsi Mata na walivyochza upande Wa kulia na hiyo ndiyo ilikuwa turning point
 
Apart from a massive comeback,timu yetu bado inafanya mistakes kwenye kumark wapinzani,mourinho inabidi atatue hili tatizo

Alexis bado sijamwona kwenye ubora wake so far,sijui nyie wengine mnaonaje??

Hatuna mchezaji anayeweza kulink timu kwenye final third ya wapinzani kama mata,jana alibadilisha kabisa mpira alivoingia.

This is how our team supposed to be,winning spirit up to the final second..
 
Kila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.

Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Nani anatakiwa awe kocha mbadala?
 
Man U tungempata kocha kama Klopp tungekuwa mbali sana. Huyu Jose wala simkubali kabisa
 
Kwa sasa anayelipwa zaidi ni Pogba pound 200,000 kwa wiki. Hivyo de Gea akipewa hizo pound 300K kwa wiki ndiye atakuwa analipwa kiasi kikubwa kuliko mchezaji yeyote pale Man U.
Bogba 290 ,000
Sanchez 300,000
 
Kwa sasa anayelipwa zaidi ni Pogba pound 200,000 kwa wiki. Hivyo de Gea akipewa hizo pound 300K kwa wiki ndiye atakuwa analipwa kiasi kikubwa kuliko mchezaji yeyote pale Man U.
Bogba 290 ,000
Sanchez 300,000
 
Back
Top Bottom