Kwani umekwishaRashford na mata after kuingia
Wamebadilisha sana hii game
Kama co wao bhas man u mgeitana
Kama wenzenu jana
Bado dk 3 Ila kama coKwani umekwisha
Soma scoreboard ngap ngap ...Bado unaimba subaheri ..Dedication song aslay ft nandy
Subalkher
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
In your wildest dreamsKila kaya itaonja msiba... Ngoja tuone teh teh teeeeehhh
Haa haa haa mmejikomboa dkSoma scoreboard ngap ngap ...Bado unaimba subaheri ..
Mpira umeisha...unaweza kuelezea furaha yako sasa kwa undani zaidiView attachment 705732
😀 😀 😀 😀 😀 teh teh teh teh teh teh!
Kama Sikosei Kwa Mujibu Wa Saa Za Afrika Mashariki Huu Mpira Utamalizika Kesho! Hivi Nitazame Mpira Ndani Ya Siku Mbili Halafu Nisifurahi?? Haiwezekani!!!
C. Palace 1 - 0 Man United
Dakika ya 11'