Chululuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu weweweeeee
HahahahahahahahahahaMwenzio akinyolewa zako tia maji
Kama co vuz bas hata kwapaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] mkuu unanifurahishaYoung na Valencia wanafanya nni uwanjani???tutaficha wap hii aibu kesho jamani..
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Haya machezaji na kocha wao kama Mateja yaani yanahisi Man U ni kama Lipuli, Man U haikupata mafanikio kwa kucheza kipuuzi hivi.Mbona wachezaji awachangamki wanazubaa sana
Umeona wanzio wao wanavyotafuta goalmpira unataka hv unashambulia tu co kila saa kujihamii