Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wacha ngebe nawe ubatizo umekwisha! Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha rafiki yako leo yuko wapi? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

We nawe haujatolewa out leo?
 
vlcsnap-2011-08-18-00h51m46s92.png
attachment.php
Na wewe ni wa Timu Gani? Tukuchape tukikushika Yaani Tumefungwa kwa Taaabu Leo ndio Wasema hovyo hovyo
 
We nawe haujatolewa out leo?

Kufungwa kubaya chacha nani kakwambia nahitaji kutolewa out? Au mimi nimesema wewe ni bibi/babu? wacha ngebe kunywa vidonge vyako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Edin-Dzeko-Manchester-City-Premier-League_2669326.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Raha ndani ya roho...Tabasamu la nguvu 🙂🙂...huku akijisemea kimoyomoyo, "I did not expect this at all....what a wonderful performance." 🙂🙂

Kweli unasikia raha manake umekwanyuliwa kimoja tu na QPR unacheeeka
 
Kufungwa kubaya chacha nani kakwambia nahitaji kutolewa out? Au mimi nimesema wewe ni bibi/babu? wacha ngebe kunywa vidonge vyako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Yani umekataa kutolewa out na wanaume ili ushangilie ushindi wa man city!!
 
Kweli unasikia raha manake umekwanyuliwa kimoja tu na QPR unacheeeka

Hahahahah lol! Mie si wa mitaa hiyo Mkuu hebu angalia vizuri rekodi zako kuhusu BAK 🙂...na kama haziko sawa basi ufanye necessary corrections 🙂🙂
 
ddk za nyongeza mlipigwa bao ngapi jana jamani humu? kweli jana ilikuwa siku nzuri kwetu arsenal adui muombee njaa
 
Man U haters naona mmepata topiki..sio mbaya lakini tutaaamka tu..
 
Evans,Rio,Evra zama zao zimeshaisha,bora wacheze Jones na Smalling pale kati.Hiki kipigo kimekuja wakati muafaka naamini kitatuamsha .Tunashukuru kwamba hadi sasa tumeshacheza big match zote (Chelsea,Arsenal,Liverpool,Spurs & Man City) watakuja mbele ni dozi tu
 
ddk za nyongeza mlipigwa bao ngapi jana jamani humu? kweli jana ilikuwa siku nzuri kwetu arsenal adui muombee njaa

Acha kujikweza wewe Arsenal ni adui wa Man Utd kwa lipi? Sisi tunagombania ubingwa na ninyi mnagombania top four so hatuna uadui na ninyi
 
Evans,Rio,Evra zama zao zimeshaisha,bora wacheze Jones na Smalling pale kati.Hiki kipigo kimekuja wakati muafaka naamini kitatuamsha .Tunashukuru kwamba hadi sasa tumeshacheza big match zote (Chelsea,Arsenal,Liverpool,Spurs & Man City) watakuja mbele ni dozi tu

Mpinzani wangu Pole! jana nilikuwa upande wenu sababu najuwa kila mafanikio mazuri ya United inakuwa fundisho kwa LFC wapate kuamka kwani hata United walikuwa mafanikio yao sababu ya machungu ya LFC! tukija kwenye Comment yako Belo mie Maoni yangu naona Evans na Rio kweli wana game na game ila zile za speed na wenye skill hawafai ila Evra bado ni mchezaji mzuri kwa United akijirekebisha kutokukata tamaa na hasira mapema. United wakipata beki ya Kati kama Vidic vile na Mchezeshaji wa Middle mwenye kutambaa winger kati nguvu kukatakata kukuupata mpira pale kati basi hawana tatizo lolote, Ukweli japo ni wapinzani wangu United bado ni timu yenye kujuwa ushindi hasa wanapopata timu ndogo mfano hata wakipata Tabu wanashinda sababu wana Top Striker si chini ya 4. wanasema United imekoswa nafasi Old traford msimu huu mara 90 inaonesha Kipa mzuri ila kati lazima wapate mtu Beki na Middle ukichunguza game nyingi Rooney anashuka sana mpaka maeneo ya beki time ambazo si kona. heri yenu mna quality sie bado sana tunahitaji kununuwa quality la sivyo tutagombania nafasi na newcastle na stoke.
 
Hahahahah lol! Mie si wa mitaa hiyo Mkuu hebu angalia vizuri rekodi zako kuhusu BAK 🙂...na kama haziko sawa basi ufanye necessary corrections 🙂🙂

Arsenal=Chelsea=Liverpool=Man City=Mashabiki mseto
 
Kwa kweli tatizo kubwa kwa Man Utd ni kiungo (No. 6) mwenye nguvu ya kukaba na pumzi ya kupeleka mashambulizi mbele, Anderson anaweza kukaba na kushambulia lakini hana pumzi ya kutosha kupanda na kushuka, Fletcher hana nguvu za kutosha, Carrick Mpole sana, Cleverly mwepesi kupanda na kushuka lakini hana nguvu. So lazima babu atafute kiungo aina ya Roy Kean mwenye kumudu vurugu za katikati lakini kwa kipindi hichi cha mpito inabidi Phill Johns achezeshwe kama kiungo mkabaji hasa kwenye mechi ngumu.
 
Back
Top Bottom