Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nenda kafund8she wewe !!!
Kila kocha ana falsafa/mbinu zake km unataka soka la kushambulia hamia Liverpool kwa Klopp hadi siku Mou aondoke
 
Hahaha !! leo hamna blaa blaaa waswahili wanasema ukipata furahi ukikosa jutia wacha leo tufurahi sisi hahahahhahha weeeeeitaaaaaaaa mpe kila mmoja !!!

Kesho naingiaje kidume kaziniii watanikomaaaa! !!!!
Hahaha kweli sister.
 
Na Ndiyo Nipo Hapa Navizia Zile Kauli Za "MOURINHO SI KOCHA"...
Mie natamka kocha anayetembelea nyota za wachezaj wanaojituma kama enzi za kina lampard drogba essien deco lakini sio kocha wa wachezajii wa kawaida
 
Hata hivyo Sanchez alikuwa amepwaya. Ilikuwa ni haki kumtoa.
 
Timu haishambulii kwamba Man U inafungaje bila kushambulia?? Au inafunga kwa ile mipira ya goal kick???
 
Mie natamka kocha anayetembelea nyota za wachezaj wanaojituma kama enzi za kina lampard drogba essien deco lakini sio kocha wa wachezajii wa kawaida
Kwa ule usajili wa city nae pep ni kocha wa kundi lipi?

Huyo dogo ni level za wakina Mondric au kroos


Toka aje mourinho huyu dogo kama sijakosea anatafuta goli la 9 ktk msimu je ni wa level ipi?
Kuna muda tusiwe watu wa kuponda tu

Mourinho kamtoa drogba france nani alikuwa anamjua? Kamtoa essien nani alikuwa anamjua je hao ni wachezaji ambao walikuwa wanajulikana kidunia ukubwa wa majina yao kabla ya mourinho kuwasajili?
Hao wote walikuwa wachezaj wa kawaida tu ni namna kocha anaweza kuwajenga kuwa wachezaj wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…