Hahaha !! leo hamna blaa blaaa waswahili wanasema ukipata furahi ukikosa jutia wacha leo tufurahi sisi hahahahhahha weeeeeitaaaaaaaa mpe kila mmoja !!!Suala ni kwamba nlikuambia ntakufunga haijalishi ni mbinu gani hapa tunongelea ubao unasomaje.
Hata mwaka jana ilikuwa ngekewa safar hii walau umeambulia ka goli.
Kwa nini uongelee game 15 tu? Kwa nini usifanye game 50. Usipende kuongelea historia unapozungumza na utd utapoteaAsnte pia hongera
Hahahahahahahha unataka baba Jesca anihujumu eeeh??Endelea kupambana mpaka ufikie uwezo wa kununua shares za kila Glazer Family pale Old Traford
Mmeshinda ngapi?Ivi wewe unaubongo kweli
Man u mna mtu kama hazard?
Mnabeki kama azipilicueta?
Utaua watu na preshaKwa nini uongelee game 15 tu? Kwa nini usifanye game 50. Usipende kuongelea historia unapozungumza na utd utapotea
Utd ndio imezifunga tim za uingereza mara nyingi zaidi kaa ukijua hilo. Chelsea ni 'my wife' wetu since way back na uefa ulituzawadia au hukumbuki?
Jioni njema kwa hisani ya [HASHTAG]#Mctommiy[/HASHTAG] ila miss ya [HASHTAG]#lukagoals[/HASHTAG] ingezama leo mngetubeba
GGMU
Kaliangalie goli la Willian limesababishwa na nani..Huyu dogo unamuona?
View attachment 701396
Ila umeumia sana maana ungenitoa nafasi ile uuhuhuhuhhhh ningekukomaaa!! Ningekuta post zako kama mia hivi hongera kwa kudumu masaa machache! ! Msalimie Ed n Edd nEddyNyinyi Man United Hamuna Huruma Hata Kidogo! Na Muhakikishe Mutabeba Jukumu La Kumtoa Chelshit Kwenye Top Four.
Kauli kama hizi hutaziona wiki nzima ijayo...Man U hatuna Timu ya kucheza na Big Team huo ndio ukweli tuache Siasa kweny soka, Soka ni Mipango na Hamasa sasa kama sisi hatuna mipango hata hamasa ya wachezaji haipo naona Top 4 tunaiaga taratibu.
Hili Likocha bora hata lipate likizo.
Yan tunawanyima usingizi eeeh.?Nyinyi Man United Hamuna Huruma Hata Kidogo! Na Muhakikishe Mutabeba Jukumu La Kumtoa Chelshit Kwenye Top Four.
Hapana ushindi wa mechi moja hauwezi kutufanya kubadilisha mawazo juu ya Kocha Mou anajihami sana na hii imekuwa kawaida yake.Kauli kama hizi hutaziona wiki nzima ijayo...
Tokea fagason amestaafu ni kocha gani aliiwezesha timu kuwa namba mbili kwenye ligi na kuwa kwenye Uefa mpaka mwezi huu?Hapana ushindi wa mechi moja hauwezi kutufanya kubadilisha mawazo juu ya Kocha Mou anajihami sana na hii imekuwa kawaida yake.
Ifike hatua wachezaji wacheze mpira wa kushambulia huku wanalinda sasa tukikaa kulinda Bila kufanya mashambulizi lazima Timu itakuwa mbovu kupindukia.
Ushindi wa leo na kesho hauwezi kunifanya niamini Mou ni chaguo sahihi kwa Man U.
Kuna watu wanajidai wanajua mpira kuliko kochaKuna watu wanalaumu Mourinho kumtoa Sanchez na kumuingiza Bailly. Ile move ilikua ni lazima kwa sababu Conte alimtoa Moses akamuingiza Giroud kuongeza mashambulizi. So Bailly nae aliingia kwenda kuongeza ulinzi. Simple like that.
Sasa kuuliza why alimtoa Sanchez asimtoe mchezaji mwingine hilo ni suala na maamuzi ya kocha.
Ila umeumia sana maana ungenitoa nafasi ile uuhuhuhuhhhh ningekukomaaa!! Ningekuta post zako kama mia hivi hongera kwa kudumu masaa machache! ! Msalimie Ed n Edd nEddy