Salama kabisaSalam mkuu.
Piga picha Guadiola awe na Rashford, Lingarl, Pogba, Matic na SanchezMi mkuu sijakataa nafaham tunawachezaji wa kawaida sana hilo sijakataa hata kuna muda kocha anazingua nakubali ila sio kila muda tumpe madongo tu hata mm kuna muda sipend mchezo wa kujilinda tunapokutana na baadhi ya timu sio naunga mkono mwanzo mwisho hamna kocha asie chemka.
Mc u mtaniHumu ndani hadi raha hahahaha!! Watu wako too emotional!! Miaka hii kwetu maisha yamekuwa magumu sana toka Moyes, Van Gaal, sasa Mou mzoeee tu bandugu! Sasa ni kwenda kwa imani tu tena imani ya kuhamisha milima ha hah hahaha !! Ila the good things katika mateso haya kuna neema nyingi nyingi tu, so bado naendeleza ka msemo ka last
season tutafika tu!!
Za siku dada angu? Naona umepotea sana aisee!Humu ndani hadi raha hahahaha!! Watu wako too emotional!! Miaka hii kwetu maisha yamekuwa magumu sana toka Moyes, Van Gaal, sasa Mou mzoeee tu bandugu! Sasa ni kwenda kwa imani tu tena imani ya kuhamisha milima ha hah hahaha !! Ila the good things katika mateso haya kuna neema nyingi nyingi tu, so bado naendeleza ka msemo ka last
season tutafika tu!!
Mkuu vipi kwema? Naona kule kwenu ni mwendo wa ngumi na mapanga, watu wanataka kutoana rohoMc u mtani
Haha haha kule kwetu kumewaka moto haswaaMkuu vipi kwema? Naona kule kwenu ni mwendo wa ngumi na mapanga, watu wanataka kutoana roho
Tatizo ni Kocha anavyowapanga.Hata Lukaku hamna kitu.Angalia Liver,Man city zinavyocheza ugenini tofauti.na hili li litimu la MOU.Kazi.kubutuabutua na uwoga nwingiHuyu Sanchez's mpaka namuona anakimbia kimbia tu uwanjani naye asije kuflop kama pogba tu maana hali tete sana kwetu tumtetee tu sababu ni kocha wetu lakini ni DHAHIRI SHAHIRI pale ni NEHIE.
Jamaa umenichekeshaOmbeni duo zote Degea asipatwe tumbo ya kuhara hapo ndipo mtapotambua kuwa team yenu ni mbovu zaidi ya njombe mji
haaa haaa haaaa!haya mkuu imebidi nicheke tu!nilijiandaa kumwagika mipovu balaanadhan makosa ya kiuandishi. si unajua sikuizi hata risasi zinakosea njia,?
haaa haaa haaa!utani kama huu ukiwa unaanza kula msosi appetite inaweza ikayeyuka ghafla!!!Nyinyi mnakutana na bayern au barcelona au madrid ahahaaaaa natania tu
Hana kiwango cha muendelezo leo yupo vizur kesho hovyo hata mbinu ya kupak basi kwa kocha inafeli wachezaj huwa hawana fom ya kueleweka hebu chukulia basi chelsea na form ya willin na hazard palr mbele hata kocha unashindwa kumponda mana muda wote barcelona wapo kwenye hatar japo mpora wanacheza wao bacaKuna Kitu ameshakiona Kutoka Martial Ndiyo Mana! Hata Mimi Nimegundua Kitu Kwa Martial ambacho Ni Helpless Kwa timu.
Rudi nyumbani pia umeadimika sana mkuu kule wewe ni wamuhimu ndugu malafyale anaipenda timu na hataki mawazo tofauti na anachokiamini ila ije masika kije kiangazi yuko na timu mkubwa mosdef kama kawaida hekima zake zinasomeka,hii ni taarifa fupi ya nyumbani.Twendeni tukapanogeshe.De gea na man utd ni km wamekutana tu uwanjani...de gea anadaka kimpango wake na timu inacheza kimpango Wake very sad...
Acha uchokoziKlabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán, usiku wa jana (Jumatano) kwenye kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa.
Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3Piga picha Guadiola awe na Rashford, Lingarl, Pogba, Matic na Sanchez