Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mi nisingeweka hela kubwa. Kwa sababu wigan nakumbuka vizuri walichotufanya 2013-2014
Siamini kabisa Kama Wigan kafanya hivyo, na nilitaka ni bet niweke hela maana nilijua kabisa Wigan hatoki. Tena ningeweka Handicap 2. My God. Duuh hi I Leo somo.
 
Siamini kabisa Kama Wigan kafanya hivyo, na nilitaka ni bet niweke hela maana nilijua kabisa Wigan hatoki. Tena ningeweka Handicap 2. My God. Duuh hi I Leo somo.
Mpira mchezo wa makosa.
 
Absolutely true bro! Nimepapenda sana hapo kwenye exchange Guadiola aje kwetu na Mou aende kwao,hakika wachezaji Hawa hawa kina Rashford watauwasha moto hadi tushangae. Mou hata talent ya Reloy Sane asingeiona.
 
Mkuu hata kabla haujaenda kwa akina psg,man city na vigogo wengine kwenye matumizi ya pesa,hawa huddersfield tu wametutoa jasho kwenye game ya leo pamoja na uwekezaji wetu. Tatizo la Mou anaamini sana katika ulinzi utadhani alikuwa mwanajeshi.
eti utadhani alikuwa mwanajeshi
 
Here's something to cheer you up this Tuesday - United training pics ahead of tomorrow's UEFA Champions League tie against Sevilla!
 
Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani,team mliyo mpa Sanchez ikawa yake masaa tu baada ya kufika haiwezi mfunga Seville
 
Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani,team mliyo mpa Sanchez ikawa yake masaa tu baada ya kufika haiwezi mfunga Seville
Sare inasaidia nini? Umetoka kujikomba kwa chelsea kule dua lako halikufanikiwa umeamua kuja kushusha hasira hapa
 
Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani,team mliyo mpa Sanchez ikawa yake masaa tu baada ya kufika haiwezi mfunga Seville
Tukishinda iwe mara ya mwisho kuonekana huku.
 
EPL teams zote UCL zimejitahidi sana lkn najua atakaye tutia najisi ni hii team!
Hawawezi mfunga Seville hawa
 
Sare inasaidia nini? Umetoka kujikomba kwa chelsea kule dua lako halikufanikiwa umeamua kuja kushusha hasira hapa

Toka juzi kule niliandika wasiwe na wasi wasi sababu Barca HANA team ya kumfunga Chelsea Darajani
Pia nakuambia hapa huwezi mfunga Seville kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…