Manchester united wachezaji tunao kabisa wakuweza kuipeleka timu tunapotaka mashabikiweng.
Ila hatuna kabisa kicha wa kutufanya tufike hapo tunapopataka labda tukibadili ila kw huyu wa sasa sina iman naye.
huwa anacreat bifu binafsi na wachezaji.. ni kwel kabisa herrela siyo wa kuwekwa benchi hilo bifu Lake binafsi kocha wetu, niliwah kusoma source moja kwamba tatizo la herrela na mour lilikuja kipind herrela alipomkaribisha rafk yake anaechezea Celta vigo kwenye uwanja wa mazoez wa Manchester kipind wanajiandaa kucheza na celta vigo, hapo ndo tatzo lilipoanzia
wakat mwngne huwa nadhan labda mour kazeeka iv anashindwa kabsa kuona POGBA SIYO DEFENSIVE MIDFIELDER, anamfanya pogba aonekane average player kabisa, kwanini matic na herrela wasianze harafu pogba awe juu yao kama free player, ila mour haon hilo.
kitu Kingine huwa namshangaa kumuamini smalling wakat kwenye benchi una beki bora dunian Marcos rojo mzima kabisa,dah huyu kocha bhana.
harafu mpira wa kudefend ushapitwa na wakati tena huwa naboreka sana tukikutana na timu ambazo zipo kwenye top 6 lazima mour adefend tu yan anakaribisha mashambulizi kabisa,
kuna mdau alishawah Kusema kwa tatctic za mour hatuwez kufika popote labda abadilike, ni kwel kabisa