Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Mimi ndio nimeuliza swali, naomba majibu kwanza ndio uulize swali lako!!Mkuu unafaham maana ya "double holding midfielders" ????
Ukinijibu hili nitaendelea...
Mimi ndio nimeuliza swali, naomba majibu kwanza ndio uulize swali lako!!Mkuu unafaham maana ya "double holding midfielders" ????
Ukinijibu hili nitaendelea...
Hakuna kitu amekosa goli la waz yuko peke yake pale unafikili mtu km kun aguero anakosa???
waangalie vizuri wasilete ushabiki
Maneno ya kishabiki tu kwani huko ARSENAL ALIKUWA AKOSI MAGOLIHili goli la wazi kabisa hata mimi nafunga...msitetee upupu hapa alichosita kupiga nini alipatwa na maruweruwe au mzimu wa wenger ulimjia.....anapata tabu huyu jamaa dah na nina uhakika kule arsenal angecheza sana maana alikuwa amezungukwa na mafundi ila hapa atatundika daluga mapemaaaaaaaaaaa maana waliomzunguka ni utoto na ushubwada mtupu kina martial hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
Box to box ni kama Artulo Vidal yule aliyemfanya pogba ang'ae juventusHizo hela hawezi kulipwa hapa tunapingana na mbinu za mourinho ktk baadhi ya mechi na kumtetea pogba ila kuna muda kiungo unatakiwa uwe unacheza sehemu yoyote kwa pesa aliyonunuliwa na mshahara haiwezekan kiungo ucheze namba moja tu kwa mfano mata alipoingia alifanya vitu vingi sana kwa muda mfupi sasa kama kiungo huna mbinu za kujilinda ni shida tunamtetea pogba hatutak muda wote kuzuia ila na yy ni mvivu kujifunza kuzuia labda wataalamu watuambie box to box midfielder anakuaje
Mkuu jonjo ni complete midfielder tatzo nyota tuMkuu ule ni mfumo wa kujilinda 4231 unapata goli la haraka unaanza kuzuia kucheza counter atack hawa newcastle wakujinda kweli?
Halafu najiuliza sana sawa pogba hatendewi haki ina maana hata jonjo wa kumpoteza?
Swali nililokuuliza ndio jibu lako. Jana tumecheza na double number 6 ( matic na Pogba ) ... Lingard alikuwa false number 8.... Alexis Sanzez alikuwa namba 11 ila hakuwa natural namba 11... Muda Mwngi upande wa winga ya kushoto alikuwa anacheza Ashley young kama WING BACK ( beki wa kupanda na kushuka).Mimi ndio nimeuliza swali, naomba majibu kwanza ndio uulize swali lako!!
na hili ndio tatizo kwa sasa MANCHESTER UNITED wachezaji awajielewi na Mourinho kawa sio yule wa tunayemjua kwa sasa amekuwa mpole sana kulikoKweli mkuu yashatokea tugange yajayo ila jana tulikuwa wazembe sana.
Angalia statistics za gameNewcastle jana walicheza mpira swafi kabisa walikuwa wanapiga pasi zinaonekana na wala hawakupaki basi timu ilikuwa inasogea mbele inaonekana ..........
Pole aiseeMan U wameniboa kweli jana.
Zinasemaje man kashinda?Angalia statistics za game
Pogba ni mzuri akipiga 10 hakika,ila chini yake wawepo watu wa maana ,kumbuka juve kulikuwa na watu mfano pirlo na vidal ila hapo dah mtamlaumu sana........wacha KDB aupige mwingi hivi unajua shughuli inayopigwa na kina FERNANDINHO pale chini?unaachaje kung'aa kwa mfano?
Pole aisee
Hili goli la wazi kabisa hata mimi nafunga...msitetee upupu hapa alichosita kupiga nini alipatwa na maruweruwe au mzimu wa wenger ulimjia.....anapata tabu huyu jamaa dah na nina uhakika kule arsenal angecheza sana maana alikuwa amezungukwa na mafundi ila hapa atatundika daluga mapemaaaaaaaaaaa maana waliomzunguka ni utoto na ushubwada mtupu kina martial hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
HahahahahaMou tutamtetea sana lakini hata mpira tunaocheza ni wa kawaida sana yani hatuna zile pass za maana ukaona kweli timu inacheza. Mpaka kuna mda unajiuliza hawa wanaendaga training au wanaamkia nyumbani kwao ndo wanaenda uwanjani.