Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na wewe ni wa wapi? Unakurupuka tu.
Na nia yangu ilikuwa nikukurupue huko shimoni ulipojificha hahahahahahaha maana kwa comment hii nilijua tu mtakuja haiwezekani mtususie majamvi eeeebooooh
 
Acha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.
Kwahiyo unaifananisha spurs na newcastle hivi hata kwa akili za kawaida tu huoni tofauti hivi spurs alikufumua ngapi mkuu,????? Ndo ujue wewe mtepeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama boflo huna timu ni ushubwada mtupu yaani kama mkusanyiko wa wahuni fulani hivi hahahahahaha samahani lakini
 
Sawa wewe wa 6 kwwnye ligi na haupo UEFA ndio mzuri, tumekuelewa. Ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
Wewe mpaka unashiriki UEFA kwenye ligi ulishika namba ngapi? Msiwe mabingwa wa kujisahaulisha manyungunyungu united
 
Uko sawa kabisa.
 
Huyo ana chuki zake na Martial tunamjua vizuri angekua yupo kule UK tungesema Martial kamchukulia anamsaidia mkewe maana anamchukia sana asee bila sababu.
 
Na siku nyingine muwe na adabu ya soka mjue namna ya kuweka akiba ya maneno nyinyi si mabingwa wa kushinda ktk nyuzi za watu?????

Sasa leo kigodoro kimefungwa mtaani kwenu ........heheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheheh hii ndo raha ya soka bwana
 
Kuna kitu Mou anakosea. Tunaweza tusiwe na timu nzuri ya kumfunga City,Spurs au PSG ila timu hii haiwezi kufungwa na Huddersfield,Newcastle.
Pogba kasusa kucheza mpira,Martial doesnt care. Kuna kitu zaidi ya football uwanjani.
Dah mkuu umeongea kwa uchungu sana hizi timu sio za kutufunga kabisa yani ni aibu.
 
Conte huyu wa Goli 7 mechi mbili au mwingine??? I
 
Punguza ushamba dogo kuna msimu ushawah kusikia hii timu haijafungwa?
Naona unapovuka mkuu.....mimi sikukatazi itafahamika baadae mshamba nani kati ya mm au ww ila current issue ni

Manure 0 Magpies 1

Ukizingua natuma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…