BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Kabisa mkuu ndio mpira huo,yeah na mimi nilikuwa nasema wametuwahi mapema ila ila mda bado kidogo maana kutangulia sio kufika eti...
Naam Mkuu mnaweza kabisa kusawazisha na kuongeza bao au hata mabao mengine mawili au matatu, lakini wakati tukienda HT mko chini 0-1.