Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duuuuu hii ni too much sasa, sio 5 lakini kwa timu kama United....
 
Man u leo wame give up baada ya kuwa exposed,goli la nne welbeck peke yake ndo anafukuza mchezaji wa Man City.Wengine wanapitwa tu kama wamesimama,wangeweza limwa nane leo kama walivyowafanya arsenal.Nanona Sir Alex sasa anajua how it feels!
 
Hii hakuna tofauti na walichowafanya Arsenal,i agree mwosha huoshwa.
 
Msiba umeanza alhamis libya umeenda kuendelea old trafford simchezo.

Naona hitma zenu tutafanya pamoja.
 
Mgonga hugongwa alisema NAY WA MITEGO,mlitupiga 8-2 mkiwa kwenu,mmegongwa 6-1 at home,what a shame!LOL!
 
hahahahahahaha!! Manure are as good as sh1t....that's not a champions stuff.
 
:lol:Manure 1 - Man City 6

Poleni watani, ila goli 6, ni kipigo kizito mno wakuu!:tongue:
 
Back
Top Bottom