Nilichojifunza mechi ya leo
Nemanja Matic amechoka sana mara baada ya kutumika kwa muda mrefu hivyo ni wakati wa kumpa nafasi na Carrick.
Ashley Young apumzishwe na nafasi yake apewe Luke Shaw natural left back.
Chris Smalling anachezaje wakati mtu kama Marcos Rojo mzima
Man Utd chini ya Jose bado tupo maili nyingi sana kuufikia ubingwa wa EPL.