sport-preview-rashford-sanchez-600x400.jpg
 
Manchester United imeingia katika mbio za kusaini mkataba na mchezaji wa kiungo cha kati wa Bayern Munich kutoka Chile Arturo Vidal, mwenye umri wa miaka 30. (Mirror)
 
Mshambuliaji wa Manchester United striker Zlatan Ibrahimovic anakaribia kabisa kuhamia LA Galaxy katika MLS. Ibrahimovic mwenye umri wa miaka 36 mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Sweden anakaribia kurejea katika mazoezi wiki ijayo baada ya kupata jeraha mwezi Disemba (ESPN).
 
Nyota wa Brazil anayechezea Monaco Fabinho, 24, ambaye amehusishwa na kuhamia Manchester United au Manchester City, ameashiria kwamba anataka kuihama klabu hiyo ya Ufaransa kutafuta changamoto mpya. (Lancenet kupitia Sky Sports)
 
mara ya mwisho kwa manchester united kufungwa goli ilikuwa ni siku ya boxing day kwenye mechi dhidi ya burnley, inamaana manchester united wametimiza mwezi mzima bila ya kufungwa goli lakini kuna watu bado hawaioni kazi ya mourinho.
mimi binafsi kwa sasa ninapoangalia mpira wala siwazi eti ni mlinzi gani ataanza kwenye kikosi cha kwanza, akianza smalling, lindeloaf, rojo,blind,jones,tuanzebe,bailly wote kwangu mimi ni sawa.
26992605_1791560747570561_361764434609317952_n.jpg

happy birthday jose mourinho,
mwanadamu asiyeishiwa maneno

"The reality is that we sell newspapers and without Manchester United the industry would be in trouble, so that’s also part of being in such a club.”

Wataalamu huko ulaya wanasema takwimu zinaonyesha kwamba ukuta wetu upande Wa beki c mzuri sana ila maajabu ya De tea ndio tunayoyatembelea hadi sasa. Naona kuna ukweli flani
 
Wataalamu huko ulaya wanasema takwimu zinaonyesha kwamba ukuta wetu upande Wa beki c mzuri sana ila maajabu ya De tea ndio tunayoyatembelea hadi sasa. Naona kuna ukweli flani

Takwimu zipi wanazotumia??. Ukweli safu ya Ulinzi Utd ipo vizuri shida ni kwenye kufunga tu bado tunafunga magoli machache
 
Wataalamu huko ulaya wanasema takwimu zinaonyesha kwamba ukuta wetu upande Wa beki c mzuri sana ila maajabu ya De tea ndio tunayoyatembelea hadi sasa. Naona kuna ukweli flani

Bila ya ukuta imara na goli kipa bora hauwezi kupata cleansheet 5 mfululizo. Ushirikiano wao ndio unafanya tunafungwa magoli machache.
 
Kiuhalisia Jones akiwa mzima..anajitahidi sana

Ukweli usemwe mabeki wetu wanajutahidi sana sana..Bailly atarudi muda sio mrefu.

Apo amefanyiwa upasuaji so tatizo linaweza kuisha na akawa bomba.
 
Back
Top Bottom