Ww ulitegemea mgonjwa ampige bondia?Bondia anampiga mgonjwa afu anafurahi
Hutakiwi jisifu kumpiga mgojwaWw ulitegemea mgonjwa ampige bondia?
Ndo raha ya kuzalisha vijana toka kwenye academy na kuwapa nafasi muone ANGEL GOMES akifikisha umr wa kina lingard kama mambo yataenda sawa ni hatar kwenye kiungo kacheza kiungo mdogo kabisa SCOTT halafu mtu unataka mourinho atoke jaman Mungu atasamehe hapa bado TUANZEBE na wakina DEMITRI naona kabisa mourinho anainua timu kurud zama zake hao watoto wate hawajavuka 20 miakaTulicheza vizuri,morali ya Timu ilikuwa juu sana..Lingard anakosha sana namna anavyocheza.. Man united die hard.
Mkuu utamkuta kwa spurs huyo gem ijayo kapumzishwaNadhani hii tabia ya kumuweka Martial benchi ikiendelea hivi, 4G zitaendelea kwa kipindi kirefu. Nilisikia Arsenal wanataka kumchukua, si wamchukue mapema![]()
Mgonjwa anakiwa kutembea au kupumzika?Hutakiwi jisifu kumpiga mgojwa
Si kila mgonjwa lazima apumzike.... Mbona we mgonjwa ila uko busy hapaMgonjwa anakiwa kutembea au kupumzika?
Mkuu umekosea kuandika au ?!!!!!!!!!!Nadhani hii tabia ya kumuweka Martial benchi ikiendelea hivi, 4G zitaendelea kwa kipindi kirefu. Nilisikia Arsenal wanataka kumchukua, si wamchukue mapema![]()
Nimeshindwa kumuelewa kabisa yaani, dogo Rashford ni mzuri lakini amekuwa too selfish season hii.huyu jamaa anaonekana hata mpira hajui,martial ndo second au third topscorer wetu season hii
Wadau app gani inaonyesha mechi live, maana nimezujaribu nyingi but baada ya muda zinasumbua!
MobdroNaomba msaada wenu mwenye kuifahamu app mzuri ya ku-stream mechi za soka live!
Eti livescore, umenichekesha. Ndiyo zangu siku hizi ni mwendo wa livescore mana majukumu yamenibana.Are you Man United fan? Martial, seriously? Unaangalia match lakini Mkuu, au livescore?
Martial has been incredible this season, kuliko hata Rashford.
GGMU..
Nimejaribu kudownload lakini zina-appear nyingi na ni fake, unaweza nipa link ya original?Mobdro
Uzoefu wa mchezaji Alexis Sanchez pamoja na ubora wake umeleta mwelekoo mpya katika safu ya mashambulizi ya klabu ya Manchester United, kulingana na mkufunzi Jose Mourinho.
Mchezaji huyo wa Chile , 29, alitoa pasi mbili zilizosababisha mabao mawili katika mechi yake ya kwanza katika klabu hiyo tangu uhamisho wake kutoka Arsenal katika ushindi wa 4-0 dhidi ya klabu ya Yeovil katika mechi ya raundi ya nne ya kombe la FA.
''Ni mchezaji mzuri sana'' , alisema Mourinho kwa BBC michezo.
''Uamuzi wake wa bao la pili ni chaguo ambalo mchezaji kama Marcus Rashford ni muoga kufanya''.
Aliongezea: Sancheza analeta klasi na ukomavu katika timu hii.
Sanchez alihamia Manchester United kutoka Arsenal siku ya Jumatatu huku mchezaji wa Man United Henrikh Mkhitaryan akielekea Arsenal.
Huku Zlatan Ibrahimovic akichezeshwa kama mchezaji wa ziada wa Romelu Lukaku katikati ya mashambulizi, Sanchez anatarajiwa kushindana na Rashford, Anthony Martial , Jesse Lingard na Juan Matta nyuma ya mshambuliaji.
Huwez ipata playstore mkuu nenda kapakue kupitia opera mkuu utaipata kiurahisiNimejaribu kudownload lakini zina-appear nyingi na ni fake, unaweza nipa link ya original?