punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Wenyeji kumbe kuna mechi ambayo hamjai hapa kwenu?! Bila shaka mnaangalia 'upepo' kwanza... very funny indeed!
Mkuu vipi angalia mpira leo tunapiga mbili tu za kutusumbua hila liver hamna timu mlitakiwa kufunga mpaka sasa ... ...Wenyeji kumbe kuna mechi ambayo hamjai hapa kwenu?! Bila shaka mnaangalia 'upepo' kwanza... very funny indeed!
30 min gone, the game is very boring so far....I need more drink.
Ferguson ndio anataka hiwe hivyo mpaka half time aje kumaliza biashara kipindi cha pili kwa kumtumia Rooney na Hernandez . Si unajua anachungulia na champions league pia.
Ngoja tuanze second half tuone ........maana ukiwa bingwa inatakiwa kushinda game kama hizi.
Sawa mkuu, si unamaanisha mpaka sasa??!Mkuu vipi angalia mpira leo tunapiga mbili tu za kutusumbua hila liver hamna timu mlitakiwa kufunga mpaka sasa ... ...
Wacha upo live leo?