Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United lawyers are working on Alexis Sanchez's contract, it will be until 2022. They are ready to finalise the agreement (@FabrizioRomano)
 
NI MAWAZO YANGU TU:

Sanchez ni 29yrs old Sidhani Kuwa Wanaweza Kuboreka Zaidi Ya Kushuka Coz Umri Sahihi Wa Mchezaji Kufikia Katika Peak ni 25yrs na si Zaidi Ya Hapo

Problem Nyengine ni Mou-Style huenda ikamuangusha Zaidi Kama Micky
Coz Jamaa Hajazoea Kulinda alichozoea Ni Pep-Style and Weng-Style.
Only Offensive

Ni Mtazamo tu.
 
Mkopo
 
Nenda tu google andika tu Anthony martial to sevila halafu utapata majibu na uhakikishe unatafuta hadi quotations za agent wake hafu uje unipe mrejesho
 
Sanchez ni 29 Mkhi ni 28 sielewi logic yako hapo ,SAF alimsajili RVP umri huo tena injury prone na akaipa United ubingwa wa 20.Mkhi alinunuliwa kwa 26m last year Sanchez alinunuliwa kwa 32m mwaka 2013 Wenger amesema deal ni kubadilishana wachezaji hakuna hela ambayo Arsenal watapewa

Zidane,CR7,Messi wamepeak wakiwa na miaka mingapi ?

Kumbuka still United ina wachezaji wengi vijana (Martial,Rashford,Pogba,Bailly,Shaw,Lukaku)
Last season waliondoka Basti 33 na Wazza 32 na
next season two oldest players(Ibra 36 na Carrick 36) hawatakuwepo
 
Why usilete hizo links hapa,nimekwambia timu nyingi zimekuwa zinamtaka Martial but yeye mwenyewe hajawahi taka kuondoka na several times baada ya hizo tetesi kuzuka Martial akifunga goli huwa ana-kiss badge ya United na sio Martial tu zipo timu zilikuwa zinawataka Herrera,Mata,Fellaini,Romero,Darmian so sio kitu cha ajabu timu kumtaka mchezaji
 
Why usilete hizo links hapa,nimekwambia timu nyingi zimekuwa zinamtaka Martial but yeye mwenyewe hajawahi taka kuondoka na several times baada ya hizo tetesi kuzuka Martial akifunga goli huwa ana-kiss badge ya United
Man Utd 4ever
 
Ona Herrera sasa anasugua mpaka kipaji kitapotea kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…