Lakin yeye anaiwaza manchester united muda wote kwamba matokeo yake anayajua.Kuna mtu gunners haimtoki kinywani....,yaani raha yake aiongelee2...….,cjui tatizo nn!!!
Wamepiga kweli kama ulivyowaagiza.Everton piga hawa wachovu
Huenda una tatizo la macho kutokuona wahi hospital.mpaka sasa hivi sijaona mchezaji wa kiwango man u
Hafikii ata robo ya ubora wa ross BarkleySir Alex Ferguson three years ago:
"Jesse Lingard is going to be some player,”
“He will become a player when he’s 22 or so. As an attacking midfielder he has got a really good talent. I think he will be a player we have high hopes for, definitely.”
Kuna mahali pameandikwa kamzidi huyo uliemtaja au unatengeneza ka topic kako?Hafikii ata robo ya ubora wa ross Barkley
Mkifungwa mnasema hivyo mkishinda mnawapa sifa hiyo ni akili au matope?Huenda una tatizo la macho kutokuona wahi hospital.
Hata ronaldo anazomewa itakuwa huyoMkifungwa mnasema hivyo mkishinda mnawapa sifa hiyo ni akili au matope?
Bila shaka hako ka topic kamekugusa embu toa thought zako about itKuna mahali pameandikwa kamzidi huyo uliemtaja au unatengeneza ka topic kako?
Basi acheni unafiki wa kikeHata ronaldo anazomewa itakuwa huyo
Kwa hiyo unataka tuwachukie milele?
Alishatoa sir alex hakuna haja ya kurudia we hangaika na bakley wakoBila shaka hako ka topic kamekugusa embu toa thought zako about it
Kama imekuuma chomoa ukweli upo hivyo ukifanya vizur unapongezwa hatuna vinyongo vya kikeBasi acheni unafiki wa kike
Acheni unafiki kama wa bataKama imekuuma chomoa ukweli upo hivyo ukifanya vizur unapongezwa hatuna vinyingo vya kike