Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,156
Hongereni majirani. Naona mmetushikia nafasi kwa muda
Nafasi yenu kivipi? Nusu msimu tumeshika sisi, kupanda juzi ndiyo tayari ni nafasi yenu. Ndiyo ule mtindo wa chura kupiga kelele kwenye dimbwi la Maji akihisi ni Bahari kumbe kesho tu dimbwi linakauka.Hongereni majirani. Naona mmetushikia nafasi kwa muda
Hahaa.. Mkuu hivi nyie mnadhani hapo mtakaa muda mrefu kwa timu yenu ilivyo. Ngoja utanielewa namaanisha nini j5.Nafasi yenu kivipi? Nusu msimu tumeshika sisi, kupanda juzi ndiyo tayari ni nafasi yenu. Ndiyo ule mtindo wa chura kupiga kelele kwenye dimbwi la Maji akihisi ni Bahari kumbe kesho tu dimbwi linakauka.
Naona uelekeo wake mzur saiv ana goli 7 next season ataiva vizurBado tu hamumkubali Lingard?!
Kivip mkuu😀 😀 😀 Nilijua tu Comments za Plastic Fans haziwi Stable
Chelsea pale anatoka sio pake subir uoneHongereni majirani. Naona mmetushikia nafasi kwa muda
Kenge huwa haamin had damu zitoke masikioni.mmebahatisha




Nafasi yenu kivipi? Nusu msimu tumeshika sisi, kupanda juzi ndiyo tayari ni nafasi yenu. Ndiyo ule mtindo wa chura kupiga kelele kwenye dimbwi la Maji akihisi ni Bahari kumbe kesho tu dimbwi linakauka.
Haki si nafasi yetu kabisa ile. Ngoja tukamchomoe Man City pale juuChelsea pale anatoka sio pake subir uone
Na ww una timu?Hahaa.. Mkuu hivi nyie mnadhani hapo mtakaa muda mrefu kwa timu yenu ilivyo. Ngoja utanielewa namaanisha nini j5.
Wewe unayo.?Na ww una timu?
Ngumu sanaHaki si nafasi yetu kabisa ile. Ngoja tukamchomoe Man City pale juu